Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
kawaida tu me nayapenda
[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kawaida tu me nayapenda
Daaa!! [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji144]Pole dada huo ni ufahali wa wanaume so long bado hazijabadirika jina sawa tu. Ni kama masharubu, ndevu(mzuzu) nk. siku hizi hata za kwenye kwapa huwa ni fahari ya mtu wanaziacha tu. Acha wivu mbona ninyi mnavoachia mabaja yenu na siku hizi nasikia hata pichu wengine hawavai. 😉😉😉😉😉😉
At least hayana nyweleKwani nyie hamuonagi aibu kutembea mapaja wazi!!
wewe mwambie valentina anaitumie mawasiliano yakoSerious wasiliana na valentina akupe mawasiliano yangu
Hivi ni Garden Love au Love Garden?Usiseme Manywele,
Sema Garden Love
[emoji15] [emoji15] [emoji46] Hiyo ni sayansi kutoka wapi?!! Kwako aukwanza mwanaume wa ukweli anatakiwa kuvaa kaptula tuu, Sikh nzima. sehemu nyingine zote zinatakiwa kuwa wazi na hatakiwi kulala na nguo yoyote maisha yake yote.
Y [emoji87]Wanaume wenye manywele nawaogopaaaaa
We bado katotoYaani mimi siyapendi hata kama ni Garden Love wasichana wanayapenda yaani utakuta mtu mindevu hadi shingoni ni ile nayo inakaribia shingoni
Siku wamekukulida hutawaogopa watakuwa rafiki zakoWanaume wenye manywele nawaogopaaaaa
Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi?
Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess.
Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
Hupendi kifua wazi au hayo manywele?we unanyoa kila kitu?Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi?
Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess.
Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
Ngoja nijifotoe yangu ila nitayatuma pm yakuburudishe.kawaida tu me nayapenda
Asante mkuuNgoja nijifotoe yangu ila nitayatuma pm yakuburudishe.