Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
MmmhhhhNdio uanaume huo!
Kama unaona wivu nawewe vua ubaki chuchu wazi ukatishe nazo mtaani
Hujaolewa?Jamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
Mi sivaagi T-shirt bila braWw unaona aibu kuvaa tshirt bila bra wakat titi limeanguka?!
Mi sivaagi T-shirt bila bra
Picha itanogesha Maelezo yakoJamani wanaume hivi huwa hamwoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi? Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani imeunganikana na ya kwapani yaani ni shida! I take it weird though wakaka wanaona poa even other ladies take it weird I guess. Kwa kweli sitapendaga mume wangu awe anakaa kifua wazi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]kawaida tu me nayapenda