Wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani?

Mwambie Mumeo ndio aone aibu...Wanaume wengine wanakuhusu nini ikiwa si wakwako?

Walikuomba uwaangalie?

Mbona wewe unaachaga maziwa na mapaja nje ila hatusemi?
 
Mbona nyi mnatembea vichwa wazi na manywele na hamuoni aibu??!!..
 
mbona nyie mnapiga jeki matiti na sisi hatusemi
 

Pole dada huo ni ufahali wa wanaume so long bado hazijabadirika jina sawa tu. Ni kama masharubu, ndevu(mzuzu) nk. siku hizi hata za kwenye kwapa huwa ni fahari ya mtu wanaziacha tu. Acha wivu mbona ninyi mnavoachia mabaja yenu na siku hizi nasikia hata pichu wengine hawavai. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
huo wivu sasa..... na wewe tembea manyonyo wazi....[emoji19] ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…