Wanaume, hivi kubikiri kwenu ni ujiko?

Wanaume, hivi kubikiri kwenu ni ujiko?

Huo ni uendawazimu! By the way kuna wanaume hawajawahi kupata hiyo experience so wanaitafuta kwa udi na uvumba at the end of the day wanajikuta wamefanya vituko kama hivyo!
 
Wisdom tupu!
Nilinuia kumuomba Nazjaz abadili heading. Kubikiri na kubaka mtoto mdogo ni vitu viwili tofauti!
Asante babu.
Samahani ndugu yangu,

Naomba ubadilishe kichwa cha hii mada kwani ujumbe wake ni tofauti na kile tunachokiona kwenye heading!

Huwezi kuongolea suala la kuondoa bikra katika kesi ya ubakaji/kunajisi....

Huyo baba haki yake ni miaka 30 jela ili asipewe nafasi ya kuharibu binti na wajukuu zetu kwa sababu yoyote ile.

Kama ukipenda kupata maoni ya wanaume kuhusu experience ya kufanya ngono na virgin girl, basi leta mda nyingi na iwe katika hali ambayo wahusika wamefikisha umri wa kufanya maamuzi na siyo ngono za kinyanyasaji kwa kuwahusisha minors!

Babu DC!!
 
Ingawa kubikiri ni ujiko, lakini hicho kitendo alichofanya huyo jamaa ni unyama na ushenzi by all means.
 
Pumbavuuu zake atupwe jela huyoo hakika hakkuna raha ya kubikiri...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kubikiri msichana mwenye umri mdogo lazima utakuwa umembaka, hata sheria imesema hivyo.
Lakini kwenye dunia ya leo, wako wapi wasichana wakubwa wenye bikira zao?
 
Akili tunazo,ila huwa inatokeaga exceptions kama hizo ambazo hata wanawake mnazo,swala la kubikiri sio ujiko ila unakuwa umejiwekea historia in life kwamba ulishawahi kubikiri after all hakuna raha sana kama baadhi wanavyoshabikia,ila i worn you acha kuwachukia wanaume kiviiiile kwani unaweza jikuta katika hiyo midume unayoona haina akili your father,brother,uncle n.k. are included.
 
waifu wangu nimekuta kesha bikiriwa, na aliwahi kuzaa mtoto akafariki, lakini wala haijawahi kunisumbua, nampenda sana my wife. na wala mimi sijawahi kubikiri mtu. na wala sifikiriii kabisa, kwani niliyenaye ananitosha, bao napiga vizuri sina cha ziada nikitakacho. badilikeni bwana
 
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku.
Baada ya kipigo kikali Anasema kavutiwa na vichuchu vya na kuanzia azaliwe hajawahi kutoa msichana yeyote bikira.
Jamani, hivi nyie midume mna akili kweli?

Kuna vitu viwili hapa;

1- Heading inaongelea kuhusu kubikiri Jibu: Ni raha sana, kwani wewe bado? Jibu please
2- Alichofanya hilo li baba ni aibu, hakumtendea vema huyo msichana under 18 years, pia 30 yrs in prison inamsubiri plus miaka yake sijuio atatoka lini
 
Kubikiri kuna raha yake wewe. Muulize aliyekubikiri alipata raha gani...Yaani kitu kinakuwa MNATO BALAA. Kama kizibo cha peni ya speedo. Yaani K inakuwa inavuta si mchezo.

rahasanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku.
Baada ya kipigo kikali Anasema kavutiwa na vichuchu vya na kuanzia azaliwe hajawahi kutoa msichana yeyote bikira.
Jamani, hivi nyie midume mna akili kweli?

daah! mzee balaa, mwache akanyee debe ndo atajua advantages za kubikiri!
 
:frusty: nina hasira mimi...sijawahi kupata bikra!!!!!
 
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku.
Baada ya kipigo kikali Anasema kavutiwa na vichuchu vya na kuanzia azaliwe hajawahi kutoa msichana yeyote bikira.
Jamani, hivi nyie midume mna akili kweli?
Huyo sio mwanaume peke yake ila ni mwanaume chizi, hakuna mwanaume au binadamu mwenye akili timamu anayeweza kufanya kitendo kama hicho
 
waifu wangu nimekuta kesha bikiriwa, na aliwahi kuzaa mtoto akafariki, lakini wala haijawahi kunisumbua, nampenda sana my wife. na wala mimi sijawahi kubikiri mtu. na wala sifikiriii kabisa, kwani niliyenaye ananitosha, bao napiga vizuri sina cha ziada nikitakacho. badilikeni bwana

big up well said ntamaholo , past can never be changed si eti bana , wanaume mubadilike bana
 
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku.
Baada ya kipigo kikali Anasema kavutiwa na vichuchu vya na kuanzia azaliwe hajawahi kutoa msichana yeyote bikira.
Jamani, hivi nyie midume mna akili kweli?

Mimi naona kama vile unatumia tukio moja kulaumu wanaume wote kitu ambacho siyo sahihi. Ungeuliza hivi hili janaume la hapa mtaani kwetu lililobaka binti wa miaka 12 lina akili kweli? Au hivi wanaume wanaobaka mabinti wadogo wana akili timamu kweli?
 
Kubikiri kuna raha yake wewe. Muulize aliyekubikiri alipata raha gani...Yaani kitu kinakuwa MNATO BALAA. Kama kizibo cha peni ya speedo. Yaani K inakuwa inavuta si mchezo.

Kubikir mbele hamna dili... Usumbufu tu. Labda 0714......
 
Back
Top Bottom