Ahhh, taratibu mama. Haya mambo hayahitaji ugomvi, hebu wasikilize wenzio labda wana mambo mazuuri na mema kwako. Usifunge milango namna hiyo, hodi zingine zinafungua milango ya baraka. Tafadhali jaribu kuitikia neema wenzio wanazitafuta mpaka kwa waganga hawazipati.Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Uwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamkeSiyo mbaya, even people believe that there is hell but no eye witness. Endelea kuishi kwa wasi wasi.
Punguza hasira mkuuNani akutake namba!! kwa lipi hasa! utakuta limtu linapost hivi kumbe linanuka papuchi kama choo cha uswazi.. shame on u>
Atakuwa na Phd ya marketing[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua marketing sana!