Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

Waaachie vijana kanamba kako kwani unajipya ww si una chiu kama ya wengine
 
Usikute huyu ni wale wanawake wanaokata nusu mwaka hawajaombwa number wala kutongozwa sasa anatafuta njia mbadala ya kuombwa number na kutongozwa.hongera kwa kutumia alternative ya kupata mabasha.
 
47pro una namba ya M-Pesa? Nataka nikutumie pongezi zako kwa njia ya M-Pesa.
 
WEWE MDADA UMEKOSEA SANA. KAMA UNAOMBWA NAMBA BASI SIFIA UUMBAJI WA MOLA
 
hawa ndio wale wakitoa namba basi na papuchu umepata, ndio maana hataki kutoa namba
 
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!

Samahani kabla sija comment. Wewe jinsia gani? 47pro
 
Wewe unataka tu watu wakuombe namba unajipigia DEBE tumekugunduaaaa....kwanza wanaoombwa namba hawawez kulalamika ila ambao wanajiombesha namba ndo kama nyie

Hahahahahahhahahaa
Ashaliwa huyu na ukuta wa Berlin ushaangushwa tayari..
 
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Daaah pole hao ni watoto wadogo wasiokua hata na hela ,achana nao
 
Taratibu wee binti ebo kwani kuna ubaya hani ukiombwa namba??tunataka wepesi wa majibu wakati nakutongoza au hujui??
 
Back
Top Bottom