Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

Hujaombwa namba siku nyingi na huna namna ya kutafuta waombaji. Haya mama wanakuja soon.
 
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
siku nyingine andika baadhi ya wanaume mmpoje? Sio kugeneralize hiv as if kila mwanaume anataka namba yako
 
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!

sawa nimekuelewa sasa hiyo namba vipi nipe hapahapa Pm mbalii...
 
47prilpost: 15624933 said:
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Tumekusikia ila ukigonga 40 yrs bila bila usije kutusumbua na threads za 'mwanaume muoaji anahitajika urgently' maana ulifunga milango na madirisha mwenyewe.
 
Unajifanya unasumbuliwa una uzuri gani weka picha, mademu wengine bwana!!!!ukisikia paah ujue ........
 
Uwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamke
Ahahaha kwa hali hii Itabid kuwe na kitufe cha sex test humu jf.. Once you sign up use your kifanyio to activate account...!
 
Shida hutokea pale utakapo kufa halafu account inakua verified ,mtu kajinasibu ni mwanamke kumbe ni mwanaume sasa sijui ataelewekaje
 
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Acha kujipiga promo mbona ww mlain tuu taarifa zako tunazo
 
Unaombwa namba kulingana na ww ulivo, kama umekaa kibiashara zaidi waomba namba hawatokuisha, kwenye profile yako weka picha ya kwaya uone kama mtu atakuomba namba yako.

Anaweka pics za ajabu ajabau kwenye hyo avtar anategemea nini......
 
Back
Top Bottom