Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Sio mara moja bana nataka hata mara 5 hivi nisikilizie ladha kabisa kwa uzuri halaf nakuachia
Ushoga hauwezi kufa mbona vyangu nakuachia
Sasa wewe unanichukulia mabwana zangu wawili kwa mpigo. Sema wale tu bwana mi na wewe hatunyimani.
 
Sasa wewe unanichukulia mabwana zangu wawili kwa mpigo. Sema wale tu bwana mi na wewe hatunyimani.
Hata ukimpata connor usininyime tena huyu tunampiga double chumban hakuna kuweka maji afe kabisa
 
Hayo ni maneno Ya mtu asiyeridhika na alichonacho.

Usiendeshwe na moyo wa tamaa, watu tunazidiana kila level, bila kuji-control utatamani kila mtu anayemzidi kitu flani mpenzi wako.
 
Back
Top Bottom