Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hata na wewe Mbona ni mbaya wa kila kitu kuanzia sura hadi umbo Ndo Maana nilikuaacha nikamchukuwa rafiki yako wa kike Maana amekuzidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha mi nakujaga mwenyewe tu
 
Jiombee unaonekana una pepo huwez kulizika na uliyenaye
 
Baada Ya Wiki Mbili Siye Wanaume wazuri Tuliomzidi Niga Wako Kila Kitu Tunakufanya Kama Toilet Paper Tupa Kuleee

Cheaper Woman is Simple and it Seems like Wasted Material
Si kuonjana tu basi
 
Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
 
Nina uhakika wewe kichwa chako unafugia nywele tu.

Hilo unalosemea hujui kila upande linatokea?
Vipi Sasa nawewe ukija na shost wako mzuri kuliko wewe je unashauri nimchukue?
Au ndo mke wangu tunaishi pamoja na siku ya siku anakuja dada yako au mdogo wako wa kike mrembo kuliko wewe, je hili unalisemeaje?

Ukiona unashindwa kumudu hisia zako kila mara ujue bado hujakomaa kiakili
 
Ahhahahahahaha umeona ee inakera hiyo sana
 
Hey niga mbona povu
 
Hahaha aisee[emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…