Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Ni mwanamke mwehu pekee anayeamn kuna mwanaume mbaya au mzuri kwa kutizama na macho!
Kaz ya kuangalia kwa macho na kutaman ni wanaume, we mwanamke unaingiaje hilo kundi,
Laba mama Sabrina ww ni kahaba, ukiitwa sehem unapata point ya kutafta danga
Yes kweli kabisa
 
85cfe1422b33f68d1b7648d2780124bc.jpg
Nawe umeqoute uzi wote ntaku........
 
Kuna siku rafiki yangu mmoja aliniambia twende national park moja friday to sunday. Yeye alishauambia mchepuko wake, mimi kucheki huku na huku nikaamua nimchukue my on-off chick.
Huyo rafiki yangu hela anazo nyingi sana ni wale type ukimuona tu unajua yuko vizuri sana. Jamani demu wangu tulimpitia sehemu nilivyomu-introduce kwa jamaa aisee hakuweza kuficha admiration yake kwa jamaa, kwa sababu niko smart nilisoma mchezo. Tulivyorudi ndio ilikuwa mwisho wangu na yeye for good.
Wengine tuna bahati mbaya au sijui niseme nzuri marafiki zetu wametuzidi hela ila tunaheshimiana.
 
Back
Top Bottom