Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa na tunawaua tukifikia level hiyoNa kichaa kikitupanda ndio tunawatenda hadi mnakuwa wehu kama Joyce makelele Na MangeKimambi
Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.Yap mahusiano ya kupita pita unapinduliwa lakin kama bebe unamkubali huwezi kutuhubutu,kwanza wakikukonyeza jicho tu unampa alarm bebe
Ukishakuwa na mawazo haya ulioweka kwenye hii thread hamn cha bae wala baa akitokea mtu mwingine bora u jump the shipYap mahusiano ya kupita pita unapinduliwa lakin kama bebe unamkubali huwezi kutuhubutu,kwanza wakikukonyeza jicho tu unampa alarm bebe
Asante kwa ushauri unafaa kuwa nabii titoWewe ndio walewale, wakubali sampo. Nashindwa kukutofautisha na mtu anayeenda hotel anaambiwa agiza chochote unachopenda anaagiza chips nyama, akiona mtu kaletewa rost maini, anaanza, samahani waiter nimegaili namimi naomba niletee kama huyu..
Sampuli ya wadada kama wewe ni wadada wasiojua wanachotaka katika maisha,they are cheap,wanaburuzwa sana, wamegeuka madampo kila taka wanatupiwa.
Ishasemwa SAWA UMEPEWA UZURI ILA BILA AKILI ZITAKAZOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI.
maisha ni kuridhika mdada, na kujivunia ulichonacho unconditionally,
Leo wajiona mzuri ila sikuombei ni mfano tu..
Uliyenaye ukipata ajali ukaharibika uso,au ukawa kilema akuache kwa sababu tu you look filthy kwa macho ya watu.
Change how you think about love Dada.
LOVE IS BLIND.
kama mama yako unavompenda, Inamaana Angekuwa na kasoro ungetafuta mwingine.
Mwanamke unatakiwa kuwa na sifa ya kuringa kidogo, ila ukiwa na sifa za dharau kiasi hicho, utahesabu sana miaka na itafika wakati utamkumbuka hata Yule ulimwonaga ana kasoro lakin wakati huo utakua ni too late.
Don't abandon the rag for the passing mate.
Be course Unachokiacha pwani leo kesho utakikuta ufukweni.
Yule hakua bwana angu RRONDO. Angekua bwana ange ningeishia kuadmire magari mazuri ila nisingetamani kutoka na wenye hayo magari.Inawezekana husomi unachoandika. Rudia post yako na jamaa mwenye Carina. Wewe unawakilisha wanawake wengi, akitokea mtu bora kuliko mtu wako au mtu anaekufukuzia akakukutanisha na rafiki zake unabadili gear angani. Hamna cha ajabu wala kibaya ni nanature.
Unadhan nadanganyaHahaaaa nimecheka hatariii, kumbe anachosema Mama Sabrina ni kweli eeh
Ni kweli wako mfano wa haoBasi wapo huoni kuna mashoga mkuu.
Afuu kama mwanaume wako hajakupendaa ataacha wakugongee washkaji zako afuu wotee wanakupotezeaa... Yani unajipigaa Mtungoo mwenyeweeEeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama umemchoka baba sabrina si usepe tu ndio unakuja kumsemea jf umeanza tabia za kile kibibi kinacho jiita super woman cha wanawake live we kama umepata njemba jipya sepaa
We nikija kwako na wenye chura si unanisaliti weweRafiki pole kwa kulowa eeeh,kisa marafiki wa boyfriend!
Na hatufi, mnaishia kuteswa tu Na stress Na u single parentKabisaa na tunawaua tukifikia level hiyo
Hahahaahha wewe wick niache banakwahyo wewe sio genius maakili mengi?..umenisifia ujue!.
[emoji124][emoji124][emoji124]We nikija kwako na wenye chura si unanisaliti wewe
Wengi hawajui sometimes hadi namba zao watu wanagawa. Wanawake aina hii mkikutana na masela ndio unawaita wanakujaAfuu kama mwanaume wako hajakupendaa ataacha wakugongee washkaji zako afuu wotee wanakupotezeaa... Yani unajipigaa Mtungoo mwenyewee
Hata ambao hawana pesa nao hawajakamilika tunahangaika nao tuHaa ha..!! Yani kama Unaangali hivyo Vigezoo vya Kuzidiana hakunaa Alikamilikaa na yuko vizuri kwa kila kituu soo Jipangeee kutangatanga sanaa na kugongwaa sanaa.. Maana utakuwa na smart na ana helaa hajuu kutoo...untapata anajua kuto na anajali sio smart.. SOO RIZIKAA NA ULIENAEE MAANA HAKUNA ALIEKAMILIKA 100%...HAYUPOOOO
Sasa si unakuta mahusiano yapoyapo hayana futureNi kweli Mama Sabrina haya mambo yanatokea sana uraia, ila msingi wake mkubwa huwa ni upendo hafifu alio nao kwa boyfriend wake
Niko Calabash Mzee safi sana tukikutanaHaya ukimaliza kutoa povu pita hapa calabash upate wine ukalale.
Ahhahahahaha woyooooooInawezekana husomi unachoandika. Rudia post yako na jamaa mwenye Carina. Wewe unawakilisha wanawake wengi, akitokea mtu bora kuliko mtu wako au mtu anaekufukuzia akakukutanisha na rafiki zake unabadili gear angani. Hamna cha ajabu wala kibaya ni nanature.