Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Anaekupendaa alikupenda na Kasoroo zakoo na kama anakupenda Kamwe hataziona hizo kasoro...!!
 
Yap mahusiano ya kupita pita unapinduliwa lakin kama bebe unamkubali huwezi kutuhubutu,kwanza wakikukonyeza jicho tu unampa alarm bebe
Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
 
Wewe ndio walewale, wakubali sampo. Nashindwa kukutofautisha na mtu anayeenda hotel anaambiwa agiza chochote unachopenda anaagiza chips nyama, akiona mtu kaletewa rost maini, anaanza, samahani waiter nimegaili namimi naomba niletee kama huyu..
Sampuli ya wadada kama wewe ni wadada wasiojua wanachotaka katika maisha,they are cheap,wanaburuzwa sana, wamegeuka madampo kila taka wanatupiwa.
Ishasemwa SAWA UMEPEWA UZURI ILA BILA AKILI ZITAKAZOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI.
maisha ni kuridhika mdada, na kujivunia ulichonacho unconditionally,
Leo wajiona mzuri ila sikuombei ni mfano tu..
Uliyenaye ukipata ajali ukaharibika uso,au ukawa kilema akuache kwa sababu tu you look filthy kwa macho ya watu.
Change how you think about love Dada.
LOVE IS BLIND.

kama mama yako unavompenda, Inamaana Angekuwa na kasoro ungetafuta mwingine.

Mwanamke unatakiwa kuwa na sifa ya kuringa kidogo, ila ukiwa na sifa za dharau kiasi hicho, utahesabu sana miaka na itafika wakati utamkumbuka hata Yule ulimwonaga ana kasoro lakin wakati huo utakua ni too late.
Don't abandon the rag for the passing mate.
Be course Unachokiacha pwani leo kesho utakikuta ufukweni.
Asante kwa ushauri unafaa kuwa nabii tito
 
Inawezekana husomi unachoandika. Rudia post yako na jamaa mwenye Carina. Wewe unawakilisha wanawake wengi, akitokea mtu bora kuliko mtu wako au mtu anaekufukuzia akakukutanisha na rafiki zake unabadili gear angani. Hamna cha ajabu wala kibaya ni nanature.
Yule hakua bwana angu RRONDO. Angekua bwana ange ningeishia kuadmire magari mazuri ila nisingetamani kutoka na wenye hayo magari.
 
Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
Afuu kama mwanaume wako hajakupendaa ataacha wakugongee washkaji zako afuu wotee wanakupotezeaa... Yani unajipigaa Mtungoo mwenyewee
 
Kama umemchoka baba sabrina si usepe tu ndio unakuja kumsemea jf umeanza tabia za kile kibibi kinacho jiita super woman cha wanawake live we kama umepata njemba jipya sepaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haa ha..!! Yani kama Unaangali hivyo Vigezoo vya Kuzidiana hakunaa Alikamilikaa na yuko vizuri kwa kila kituu soo Jipangeee kutangatanga sanaa na kugongwaa sanaa.. Maana utakuwa na smart na ana helaa hajuu kutoo...untapata anajua kuto na anajali sio smart.. SOO RIZIKAA NA ULIENAEE MAANA HAKUNA ALIEKAMILIKA 100%...HAYUPOOOO
Hata ambao hawana pesa nao hawajakamilika tunahangaika nao tu
 
Inawezekana husomi unachoandika. Rudia post yako na jamaa mwenye Carina. Wewe unawakilisha wanawake wengi, akitokea mtu bora kuliko mtu wako au mtu anaekufukuzia akakukutanisha na rafiki zake unabadili gear angani. Hamna cha ajabu wala kibaya ni nanature.
Ahhahahahaha woyoooooo
Wanaume ndio mna tabia hiyo sanaa ya kubadili gia angani
 
Back
Top Bottom