Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Aaha bhasi kumbee Point hujapataa Unaempendaa au Unapendaa PESAAAAA TU...!! Ila tatizo Sio kwambaa mwanaume wakoo anakupeleka kwa wenzake wenye uwezo zaidi...
Kuna sponsor mmoja mkali sana ndio huwa nazunguka nae so hajazidiwa chochote bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetaman siku nyingi kuwaza kwa sauti

"Nataman couple inayofuata umu ndani iwe ya "gudume na mama Sabrina""

Yaan nataman San tena San ata sijui kwanini alaf akili mingi mlizonazo umu ndani kupitia id zenu ndo ziwe zile zile za maisha ya siku zote[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Mbavu zangu mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi hawajui sometimes hadi namba zao watu wanagawa. Wanawake aina hii mkikutana na masela ndio unawaita wanakuja
Yaah sasa wew mpaka unakubali kugongwa na mshkaji wangu ni zaidi ya malayaa..
 
Nimetaman siku nyingi kuwaza kwa sauti

"Nataman couple inayofuata umu ndani iwe ya "gudume na mama Sabrina""

Yaan nataman San tena San ata sijui kwanini alaf akili mingi mlizonazo umu ndani kupitia id zenu ndo ziwe zile zile za maisha ya siku zote[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
GuDume nipo nae mbona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan Wewe acha tu tunapitia majaribu mengi sana ndo maana mm Nimeamua kuwa single girl Sitaki majaribu mtambuko kama Hayaaa

Yan unaitwa na bwana ako alafu inafika muda wa kurud nyumban anaanza kuhangaika usafir mpaka mpewe lift
Eheheheh majaribu makubwa halaf ndio upo nae tu unalisongesha gurudumu aaa unatawanya tu
 
Yan Wewe acha tu tunapitia majaribu mengi sana ndo maana mm Nimeamua kuwa single girl Sitaki majaribu mtambuko kama Hayaaa

Yan unaitwa na bwana ako alafu inafika muda wa kurud nyumban anaanza kuhangaika usafir mpaka mpewe lift
Haa ha ha..unataka wenye magari..??? WAO PIA WAPOO NA ALIE BORAA ZAIDI YAKOO.. So wee tulia tuu na ulienae...haa ha..
 
[emoji23][emoji23] ehhehehehe hakuna shida tatizo hampendi ukweli
Ukweli kwamba akitokea mwenye nazo unabadili gear angani? Hilo lipo wazi. Lakini unafikiri shida ni ya nani? Wewe ambae ukiona $$$$ chupi inadondoka au mimi niliekualika among my friends? Hao ndio rafiki zangu, wanahela kunizidi,wananukia kunizidi sasa niwakwepe kisa ukiwaona chupi inapwaya? Au nikiwa nao nisikuite? Hakuna haja ya kuwa na wewe basi.
 
Bora tu kwa kweli yaan haya kunukia hunukiii usiniite tu
 
Kuna sponsor mmoja mkali sana ndio huwa nazunguka nae so hajazidiwa chochote bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaha kama ni sponsor bhasi Umeridhikaa kua wew ni Mchepukoo tuu... Yupo muhusikaa..!! Hayo mambo yakawaida
 
Mama Sabrina kumbe ni singo maza eeh? Pole sana endelea kugongesha tu mama, inaonekana huyu jamaa uliemchana hapa ni bahili wa kuhonga.
 
Back
Top Bottom