Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Pole RRONDO ndio maana nikatoa ushauri hapo juu mim nawapendeni mno mimi MamaSabrina
Ah huyo ni wale unajua ukimuita tu huyu hapa, unakuwa nae strategically sasa ukiona anavuka mstari unapiga chini usije kugombana na masela kisa malaya.
 
Ukishakuwa na mawazo haya ulioweka kwenye hii thread hamn cha bae wala baa akitokea mtu mwingine bora u jump the ship
[emoji23][emoji23] ehhehehehe hakuna shida tatizo hampendi ukweli
 
Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu wamemzidi kipato,wamemzidi uzuri wananukia kuzidi yeye,,hivi hamfikiriii bora muwe mnatuita mkiwa mmekaa wenyewe tu,sio tabia nzuri unaniita Mama Sabrina njoo hapa Catalunya ,huyo nami nakuja nakukuta umekaa na wakaka wazuri kukuzidi wewe hivi unategemea nini??
Unadhan mimi sina moyo au wanawake hatuna moyo?tunayo sana tena inachuruzika midamu tu,mnadhan sisi hatutamani?tunatamani sana sema huwa tunajikaza kweli.

Angalia watu uliokaa nao ndio umuite mwenzio sio baadae mapinduzi ya mechi yatokee tulaumiane,,hata sisi wanawake huwezi kuwa unaenda kwa mpenzi wako unaongozana na wanawake wazuri kukuzidi wewe nenda na wabaya wabaya au wa kawaida ama nenda peke yako,,tena bora sisi huvumilia wanaume hamna haya nyie malaya wakubwa unakuwa umemletea mboga kabisa unashangaa tu mnaanza ugomvi na shoga kumbe ashaonjeshwa utamu game limemkolea,,na kuna wakaka wanajua kweli kunogesha wanawake kunako majambozi,,tuhurumieni nasi huwa tunazidiwa

Unakuta mwanaume anakutongoza jamanii anakuita sehemu ndio mnajuana sasa yaan unakuta kazungukwa na wakaka yaan unaanza kujuta ,na kama hujamkubalia inabidi ujipoze moyo,hii tabia inakera sana ,sisi wanawake tunapenda wanaume zetu wawe juu,basi ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
binadam tumezidiana madaraja kila sehemu ukweli mchungu huu,
Mfano nataka mnielewe zaidi ili mkimwaga mapovu muwe mmeelewa ee mfano anakutaka hamornize ,,siku unaenda onana na hamornize unamkuta yupo na docta ulimwengu hivi kweli ni akili au matope unakaaje na mwanaume mzuri vile halaf mi nikukubalie mfffyuuuuu,mnatutia majaribuni halaf ukute mahusiano na huyo mwanaume hayana mbele wala nyuma kwanini usifurahishe nafsi
Haya mambo yanatokea sana tu

Hakikisha unakutana na mpenzi wako mwenyewe,,hakikisha upo smart umewazidi kitu flan rafiki zako ndio unamuita mpenzi wako
Tumeelewana???? Haya tiririkeni
[emoji779] [emoji780] [emoji779] [emoji780] [emoji779] [emoji780] [emoji779] [emoji780] [emoji779] [emoji780]
 
Afuu kama mwanaume wako hajakupendaa ataacha wakugongee washkaji zako afuu wotee wanakupotezeaa... Yani unajipigaa Mtungoo mwenyewee
Wapo wanaume wanampenda demu ila wanaogopa kuwanyima wenzao.
 
Lol. Tofauti bwana. Angekua bwana angu wala nisingebabaika na hao wanaume wengine. Ila kama sio bwana angu kwanini nisijiangalizie kitu bora zaidi.
Haa ha ha....nae anaangali kitu boraa zaidii!!
 
hujawahi kua na jamaa low level halafu anajifanya bingwa wa kuzichanga? ngoja nikuonyeshe mmoja wapo mie!.
hebu ngoja nikufate inbox unambie nikupitie tukamalize wikendi! kimshahara kinawasha balaa hiki.😀😀
Nishakuwa nao ,,sema ile ukipenda sana unaishia kuumia tu
Twendw tukaweke heshima bar
 
Ila wanawake mnapata shida sana...being tossed around like a ball its no joke!
Siku hizi kawaida tu hatujali tunafurahisha nafsi tu ,,mim nikiamua kufanya kitu wala sijal watu watanionaje
 
Back
Top Bottom