Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #61
Hahaahahah naona anajali kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kama unaona wivu mimi kudanga tudange wote basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahah naona anajali kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kama unaona wivu mimi kudanga tudange wote basi.
Babe mapovu kama hayo yapotezee bwana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kama unaona wivu mimi kudanga tudange wote basi.
Yes kweli kabisaNi mwanamke mwehu pekee anayeamn kuna mwanaume mbaya au mzuri kwa kutizama na macho!
Kaz ya kuangalia kwa macho na kutaman ni wanaume, we mwanamke unaingiaje hilo kundi,
Laba mama Sabrina ww ni kahaba, ukiitwa sehem unapata point ya kutafta danga
Eeeeh. Mimi nidange aumie yeye jomoniHahaahahah naona anajali kweli
Kuamua huenda sambamba na kukinai pamoja na kuyatawala matamanio, na siyo matamanio kukutawala weweKwani kuna mtu huwa anatosheka ama tunaamua tu kutulia
Aku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa akija mwenye wowowo kubwa hutamtamani?
Bro uwe unakoment tu sio kuqoute uzi wote sawa!!Yaonekana una Gubu sana ww
Nawe umeqoute uzi wote ntaku........
Wewe una maakili super geniusNakusanya mawindo yote, nikianza chambua windo gumu natupa!!...Ukinikataa kisa mbaya/kapuku kuna mwingine level sawa atanikubalia atembelee nyota!
Haijalishi yote ni sawa tuBro uwe unakoment tu sio kuqoute uzi wote sawa!!
Sawa kakaKuamua huenda sambamba na kukinai pamoja na kuyatawala matamanio, na siyo matamanio kukutawala wewe
Niache nitembelee nyota yako mimi kapuku basi!.Wewe una maakili super genius
Mi nawapa maujanja kabisa halaf wananitukana wanaume nyieUshauri mzuri, mwenye sikio na asikie neno hili ambalo Mama Sabrina anawaambia wanaume
Na mwenyekiti wa chama cha wadangaji Tanzania uliomuona insta hahahaahahWanatamani na wao wangekua nazo wadange.
Mpaka tupatane akili sawaNiache nitembelee nyota yako mimi kapuku basi!.