Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Bado Mwajuma sijaona jipya hapo..[emoji23] [emoji23] bring more

Ila nikuulize tu ile hela uliyokopa kwa mbitiyaza kulipia ada umeshamlipa[emoji23] [emoji23] ?
Leo hadi vi emoj vya kucheka umepatikana empty set!!!!
 
uzuri? hela? smartness upstairs? mbn hatuwasomi sasa

We nivumilie leo ukipata fursa nzuri nenda tu, ntamkamata mgeni mwingine


hahahahahaha
 
Connor leo umeandika gazeti maajabu ya Mussa haya
 
Binti mimi ndio CONNOR..nyani mzee, uyo shoga yenu nilimpa ruhusa atukane sasa nitawezaje kumreport..infact ata kureport kwenyew sijuii..

mwambieni akirudi anitafute nimsadie kupata kazi ya kufanya ...rubbish kabisa!!
We connor mi nataka unizalishe katoto kawe na akili kama zako ,nisaidie na mimi hili
 
Ndo maana mimi na Mwagaga mizigo yao!!' Kisha napita zangu na speed 100. Mi na mwanamke tusizoeane *wanawaka nimashetani*MAMA NANILII?" POLE SANA UTALIWA NA WENGI
 
Reactions: ywf
Pumba ni wewe kuzalishwa nguchiro na kutelekezwa..pumba ni ww kutumia JF kama hunting ground ya kudanga..pumba ni ww kutojitambua na kutumika..rubbish!!
aiseeee kweli Connor mc Gregory
 
Duuuh,,, hatar sana. Ila Wamekuelewa nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…