Usa-River
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 979
- 1,979
Hahaha mkuu nimeshindwaga kupenda kabisa yan...Huwa nahs life is full of drama tu kwa mambo ambayo huwa nashuhudia kuhusu love affairs. I trust no bodyDaaah. Hata unaempenda mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu nimeshindwaga kupenda kabisa yan...Huwa nahs life is full of drama tu kwa mambo ambayo huwa nashuhudia kuhusu love affairs. I trust no bodyDaaah. Hata unaempenda mkuu?
Hujapata kiboko yako mkuu.Hahaha mkuu nimeshindwaga kupenda kabisa yan...Huwa nahs life is full of drama tu kwa mambo ambayo huwa nashuhudia kuhusu love affairs. I trust no body
Kwa nini?
Angalia hio Quote toka kwa mama sabrina!ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
Hahaha cdhan mkuu,huwa wananipenda weng tu but cjawah pata spirit ya kumpenda mtu.Hujapata kiboko yako mkuu.
Nimekusoma.Angalia hio Quote toka kwa mama sabrina!
Ndo hujampata bado.Hahaha cdhan mkuu,huwa wananipenda weng tu but cjawah pata spirit ya kumpenda mtu.
Kwamba kuna siku ntampata ntakayempenda?Hahaha hapana mkuu. Trust meNdo hujampata bado.
Kwahiyo hutaoa? Hutakua na watoto? Hutaki family kabisa?Kwamba kuna siku ntampata ntakayempenda?Hahaha hapana mkuu. Trust me
Kwa maswali yako haya, kwangu ulishapata credit, you are smart.Kwahiyo hutaoa? Hutakua na watoto? Hutaki family kabisa?
Kuwa na watoto siyo lazima kuoa/kuolewa.Kwahiyo hutaoa? Hutakua na watoto? Hutaki family kabisa?
Ndo unioe mapema bby kabla mafisi hayajaja.Kwa maswali yako haya, kwangu ulishapata credit, you are smart.
Nakuja mkuu.[/Q
mhh mbona unakubakubali tuMimi na wewe tutafika mbali mbona.
I know. Utataka mwanamke unaezaa nae alee watoto peke ake kwa sababu tu huwezi kupenda? Na nini sababu ya kuzaa na mtu wakati unajua neno mapenzi halipo kwako. Unawaza ukiwa mzee nani atakuhudumia?Kuwa na watoto siyo lazima kuoa/kuolewa.
Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Ndio. Aliwaambia hajaoa mpaka muda huo kwa ajili yangu. Daah. Aliniharibia kweli.Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.
No rafiki yangu wa karibu sanaIshawah kukutokea?
..Ni kweli kabisa Mkuu.Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
Sasa demu kutongozwa ni kawaida akiwa mbaya tu anatongozwa Mara 5 kwa sikuSiku ukitongozewa wako usilalamike.
Akikubali sasa wakambeba?Sasa demu kutongozwa ni kawaida akiwa mbaya tu anatongozwa Mara 5 kwa siku