Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Tulioishia Darasa la 5B tuna shida sana!
 
Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] Anakuletea ugomvi wakati bahati ni yako.
 
Uzuri wng mim huwa cpend mwanaume mwenzangu akose,ndomaana naweza nikagonga dem then nikampitisha kwa masela kibao ili awataman wamgonge then tusimuliane hahaha
NB. Mim mambo ya kuoa ndo cwez
 
Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.
Haa ha ha...noma sanaa!!
 
Naheshimu mapenzi mimi. Naamini hela zinatafutwa zinapatikana ila kupata true love sio jambo dogo.
Kweli tupu umeongea, kama uko hivyo naamini tutafika mbali, maana mimi mwenyewe namheshimu sana mwanamke mwenye heshim.
 
Uzuri wng mim huwa cpend mwanaume mwenzangu akose,ndomaana naweza nikagonga dem then nikampitisha kwa masela kibao ili awataman wamgonge then tusimuliane hahaha
NB. Mim mambo ya kuoa ndo cwez
Daaah. Hata unaempenda mkuu?
 
Back
Top Bottom