Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kisalimie bby.Yaani umeniita baby hadi kichwa cha chini kikaitikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisalimie bby.Yaani umeniita baby hadi kichwa cha chini kikaitikia
Mimi poa tu dadaanguSijambo kaka. Mzima wewe?
Hahaaaa! [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sipendi michepuko, hizo pesa nitakazopeleka kwa michepuko si ni bora niwaongezee mitaji mkuze shughuli zenu!Ewaaaa sisi ndio tupo hivyo hata uchepuke wanyamaze hayawahusu kabisa umbea hatutaki kwa mme wetu
Hivi huoni nambebeleza freesociety ,,halaf kitandani utake upewee wewe zaidi mimi nipate kidogo wakati michongo na misala kama hii unaniachia peke yanguHuko ndo kujiamini kaka.
Mkeo akichepuka jua ndo kwaheri. Mke kabisa kuchepuka sio rahisi ila akichepuka sasa andika maumivu. Kusema udhaifu ni ujinga tu.Tatizo lenu nyie ni moja tu: Mwanaume naweza kuwa na mademu hata 20, ila sitaruhusu wala kusema chochote kibaya khs mke wng, na wala sitamsahau mke wng. Nitawachukulia hao wengine kama vicheche tu. Ila nyie mkichepuka bana daaaah, hata kma nna kibamia utatangaza. Na lazima utaanza dharau nyumbani. Huwa mnashindwa kabisa kucontrol hisia zenu. Ndo maana ni rahisi sn kuhisi mkeo anachepuka. Noma sn aisee.
Basi we mme mzuri kweli twaja pm wallahHahaaaa! [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sipendi michepuko, hizo pesa nitakazopeleka kwa michepuko si ni bora niwaongezee mitaji mkuze shughuli zenu!
Sawa kaka karibu tuchangamshe genge usikh upite.Mimi poa tu dadaangu
Yaani wachache sana. Ngoja niwaoe tu, serious nipo.Tuoe wotw bwana wanaume wenyewe wachache nyie.
Mbembeleze mpenzi mimi nipo nalinda wachumba zetu wengine.Hivi huoni nambebeleza freesociety ,,halaf kitandani utake upewee wewe zaidi mimi nipate kidogo wakati michongo na misala kama hii unaniachia peke yangu
Muda mwngn ni tamaa zenu tu. U differ, mind u.Mkeo akichepuka jua ndo kwaheri. Mke kabisa kuchepuka sio rahisi ila akichepuka sasa andika maumivu. Kusema udhaifu ni ujinga tu.
Binafsi hili nilikua naliona hili tatizo tangu zamanii sana. Japo sijawahi kuelezea hii hali. Nimekupa Big up sana kwasababu kwasababu umelieleza inavyotakiwa haswa na kwa ujasiri mwingi.Basi wengine wanamsema wakati kawasaidia.
nijibu swali langu Mama sabrinaNa empty set ahahah
Wewe free yupo tayari achana na hao kwanza kasema hapendi michepuko,ila tu usiniulie mme tumpeleke taratibu shooga maana we mbio zako kama bolt aku keshakubali kutusitiriMbembeleze mpenzi mimi nipo nalinda wachumba zetu wengine.
Mrembo jaribu kutumia polite languageKuna aina ya species kama ya mleta mada unaweza kifikiri ni mende aliye pitia evolution akawa mwanadamu..rubbish kabisa
Sawa my love yaani hapa kimeitikia kwa kusoma 4G nikiambieje sasaKisalimie bby.
Ila kweli sisi tuna tamaa sana hasa ukute mwanamke wako ni wale wanaopenda pesa. Wanawake wanaorukaga kiunzi cha pesa ni wachache sana.Muda mwngn ni tamaa zenu tu. U differ, mind u.
Kwa nini inakuwa ndo kwa heri?Mkeo akichepuka jua ndo kwaheri. Mke kabisa kuchepuka sio rahisi ila akichepuka sasa andika maumivu. Kusema udhaifu ni ujinga tu.
Njoeni jamani tusaidiane.Basi we mme mzuri kweli twaja pm wallah
Wenhtakujibu hata kesho naonge na shemeji yakp jamani mbona kaka una gubunijibu swali langu Mama sabrina
Sure. Very trueIla kweli sisi tuna tamaa sana hasa ukute mwanamke wako ni wale wanaopenda pesa. Wanawake wanaorukaga kiunzi cha pesa ni wachache sana.