Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.
 
Nadhani aliwatambulisha marafiki zake kuwa wew ndio kipenz chake..ndio maana wakakuheshimu kama Shemeji yao.
Ndio. Aliwaambia hajaoa mpaka muda huo kwa ajili yangu. Daah. Aliniharibia kweli.
 
Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
..Ni kweli kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom