Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli WANAUME KAZI IPO KWA MWENDO HUU NGOJA NIAALGIZE RENJI TENA YA TOLEO la MWAKA HUU
 
Ni mwanamke mwehu pekee anayeamn kuna mwanaume mbaya au mzuri kwa kutizama na macho!
Kaz ya kuangalia kwa macho na kutaman ni wanaume, we mwanamke unaingiaje hilo kundi,
Laba mama Sabrina ww ni kahaba, ukiitwa sehem unapata point ya kutafta danga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli WANAUME KAZI IPO KWA MWENDO HUU NGOJA NIAALGIZE RENJI TENA YA TOLEO la MWAKA HUU
Hahahaaa. Ila nyie mnapenda sana kutuonelea. Nyie hampendi vitu vizuri?
 
Unawakilisha wanawake wengi sana.
 
Yaonekana una Gubu sana ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…