Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu wamemzidi kipato,wamemzidi uzuri wananukia kuzidi yeye,,hivi hamfikiriii bora muwe mnatuita mkiwa mmekaa wenyewe tu,sio tabia nzuri unaniita Mama Sabrina njoo hapa Catalunya ,huyo nami nakuja nakukuta umekaa na wakaka wazuri kukuzidi wewe hivi unategemea nini??
Unadhan mimi sina moyo au wanawake hatuna moyo?tunayo sana tena inachuruzika midamu tu,mnadhan sisi hatutamani?tunatamani sana sema huwa tunajikaza kweli.

Angalia watu uliokaa nao ndio umuite mwenzio sio baadae mapinduzi ya mechi yatokee tulaumiane,,hata sisi wanawake huwezi kuwa unaenda kwa mpenzi wako unaongozana na wanawake wazuri kukuzidi wewe nenda na wabaya wabaya au wa kawaida ama nenda peke yako,,tena bora sisi huvumilia wanaume hamna haya nyie malaya wakubwa unakuwa umemletea mboga kabisa unashangaa tu mnaanza ugomvi na shoga kumbe ashaonjeshwa utamu game limemkolea,,na kuna wakaka wanajua kweli kunogesha wanawake kunako majambozi,,tuhurumieni nasi huwa tunazidiwa

Unakuta mwanaume anakutongoza jamanii anakuita sehemu ndio mnajuana sasa yaan unakuta kazungukwa na wakaka yaan unaanza kujuta ,na kama hujamkubalia inabidi ujipoze moyo,hii tabia inakera sana ,sisi wanawake tunapenda wanaume zetu wawe juu,basi ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
binadam tumezidiana madaraja kila sehemu ukweli mchungu huu,
Mfano nataka mnielewe zaidi ili mkimwaga mapovu muwe mmeelewa ee mfano anakutaka hamornize ,,siku unaenda onana na hamornize unamkuta yupo na docta ulimwengu hivi kweli ni akili au matope unakaaje na mwanaume mzuri vile halaf mi nikukubalie mfffyuuuuu,mnatutia majaribuni halaf ukute mahusiano na huyo mwanaume hayana mbele wala nyuma kwanini usifurahishe nafsi
Haya mambo yanatokea sana tu

Hakikisha unakutana na mpenzi wako mwenyewe,,hakikisha upo smart umewazidi kitu flan rafiki zako ndio unamuita mpenzi wako
Tumeelewana???? Haya tiririkeni
 
Wanawake hivi mpoje, mnaturoga sana. Kwa waganga mnatuendea sisi, mkitoka Huko mnatuendea kwa manabii, hivi mnataka tuweje sasa na nyie mnatuchanganya kama concrete mixer
Mpaka muwe vichaa ndio tutaridhika
 
Duuhhh...wanawake wa dar mna mambo eeehh
 
Wacha ni cheke[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ukiona hivyo jua kuwa umechokwa..... jamaa anatafuta namna ya kupumzika..... safari njema kwa uliyempata.....
 
Back
Top Bottom