Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

nina hakika ushauri wangu unahitajika katika hii sredi lakini nawahi kikao kidogo, msihuzunike nitalejea. naomba mod wasije wakaipeleka hii sredi kwenye jukwaa la wakubwa sina access ya huko.

asanteni kwa ushirikiano.
klorokwini a.k.a kibaka mzoefu.

Hivi bado dozi ya klorokwini ni fo fo tu?
 
Ni kweli sometimes wamama wanachangia ila kuna mijanadume mingine migugume hata ufanyeje atatembea tu na huyo h/g yaani wapo watu wameumbwa hivyo na hivi kama ndio ulilazimisha ndoa kwa kujibebesha mimba utaona rangi zote.
 
Ni kweli sometimes wamama wanachangia ila kuna mijanadume mingine migugume hata ufanyeje atatembea tu na huyo h/g yaani wapo watu wameumbwa hivyo na hivi kama ndio ulilazimisha ndoa kwa kujibebesha mimba utaona rangi zote.

Migumegume + vikwekerekwe = ?
 
 
Hili kweli ni tatizo, pamoja na tamaa zetu sisi wanaume lakini wanawake wenyewe mnachangia, isingekuwa hivyo basi tatizo lingekuwa la kawaida
HG anatandika kitanda chako na mmeo (mda mwingine unamkuta kitandani anachomeka shuka), inajenga hisia taratibu
HG anaamka saa 11 alfajili kumuandalia mwanaumme chai na maji ya kuoga wewe umelala!
HG anapika chakula murua, siku katoka kidogo wewe ukipika chakula hakiliki!
HG anatake care kwa watoto kuliko mama!
HG anampokea mwanamme akirudi na mauchovu anaandaa maji ya kuoga, chakula n.k wewe uko kwenye sofa doing nothing!
HG ana umbo la mchina.
HG chumbani kwa mmeo kiguu na njia kila siku kila wakati.
Jirekebisheni la sivyo kilio kitaendelea na kitaota mizizi
 
Kuna wanawake wanawatunza waume zao vizuri na bado wanalala na ma-housegal, ni kushuka kwa hofu ya Mungu na maadili.......
Pia kuna nguvu za giza sana walizonazo hawa ma-house gal,anakuja kwako na mission yake,na kama wewe si muombaji na mume wako ndo hivyo hivyo lazima atashindwa kusimama.Tujitahidi kama wanawake kutimiza wajibu wetu,mengine tumuombe na kumuachia Mungu kwa nguvu zetu hatuwezi hawa viumbe wazito.........Lakini pia tuwe makini tunapochagua waume,kuna mambo/attitude/behaviour tunazionaga na tunazi-ignore kabla ya ndoa,tukishaingia ndo tunapambana nazo vizuri,tumebaki kuangalia elimu,fedha,mafanikio tukasahau kuangalia mapungufu makubwa ambayo wanaume wanayo ambayo ukisikiliza yale yanayotoka kwenye vinywa vyao na kusoma katikati ya mstari waweza jua.....
 

daughter tutaweza wapi jamani
Tuna watoto wadogo na kazini tunatakiwa mapema
La sivyo waajiri watupe ruhusa ya kuingia ofisini na watoto
Napata picha muajiri ni St.RR
 
daughter tutaweza wapi jamani
Tuna watoto wadogo na kazini tunatakiwa mapema
La sivyo waajiri watupe ruhusa ya kuingia ofisini na watoto
Napata picha muajiri ni St.RR

Muajiri wako au wa h/g? (nimejikataza kukonekti dots)
 
na kila kitu akifanya haus boy pia na mimi niende nikalale nae?
kaz zooote zp wakat we waenda job na mimi job?
mbona mi siend kwa haus boy?
mwone vle ...ndo mana haujapona vzur

sema mama naona hawa wanatafuta namna ya kujitetea
 

Ni kweli pamoja na mapungufu haya hicho ndicho chanzo cha wewe kukufanya utembee na H/G?
 
Pearl:

Unajua wewe huwa na busara saaaaaana? Haya uliyoyandika najua yanatoka moyoni mwako! I wish wanawake wote walioolewa wangekuwa na mawazo haya - Dunia ingekuwa sehemu nzuri sana kuishi - BUT - very unfortunately Things have fallen apart!

 
Hapa nikiunganisha na ile sredi ya wanawake wa mujini wote wameshatoa mimba, nakonkloudi hausigelo wa FL1 ana mimba ya muzee ya FL1.

labda mie ndo namba tatu ee?
Asprin kwani ww hujawahi kuingia katika hii dhahama ?
Unaweza kuninong'oneza kama kusema hapa ni ngumu :A S 27:
 

OOPs itabidi tuanze kufunga na kuomba kabla ya kuleta M/G majumbani kwetu,
Ila ni kweli wanaume wamesema tuna madhaifu na mapungufu kibao
Je hiyo ndio sababu ya wao kuanza kudokoa hapo hapo ndani ya nyumba?
 

DUH!!! Hii kali
 
ah ah ah najua unanijua vzr sana na ukweli yanatoka moyoni tena chini kabisa na kwa uchungu mwingi,kiukweli utandawazi na kuga hautatupeleka popote pale!nowdaiz wa mama hata kunyonyesha hawataki eti ziwa litadondoka,huu ni upuuzi kabisa ukishika mkaa kucha zitakatika sasa unategemea huyo baba ni malaika haya mapungufu hayaoni?I real believe mwanamme kucheza mechi za nje si wote but wengi wanacheza sawa wanatafuta experience ,kupoza machungu etc lkn kama mwanmke umetimiza wajibu wako lazima heshima itakuwepo tena kubwa sana.
Pearl:

Unajua wewe huwa na busara saaaaaana? Haya uliyoyandika najua yanatoka moyoni mwako! I wish wanawake wote walioolewa wangekuwa na mawazo haya - Dunia ingekuwa sehemu nzuri sana kuishi - BUT - very unfortunately Things have fallen apart!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…