Kuna wanawake wanawatunza waume zao vizuri na bado wanalala na ma-housegal, ni kushuka kwa hofu ya Mungu na maadili.......
Pia kuna nguvu za giza sana walizonazo hawa ma-house gal,anakuja kwako na mission yake,na kama wewe si muombaji na mume wako ndo hivyo hivyo lazima atashindwa kusimama.Tujitahidi kama wanawake kutimiza wajibu wetu,mengine tumuombe na kumuachia Mungu kwa nguvu zetu hatuwezi hawa viumbe wazito.........Lakini pia tuwe makini tunapochagua waume,kuna mambo/attitude/behaviour tunazionaga na tunazi-ignore kabla ya ndoa,tukishaingia ndo tunapambana nazo vizuri,tumebaki kuangalia elimu,fedha,mafanikio tukasahau kuangalia mapungufu makubwa ambayo wanaume wanayo ambayo ukisikiliza yale yanayotoka kwenye vinywa vyao na kusoma katikati ya mstari waweza jua.....