Wanaume: Huduma gani unapenda kupatiwa ukiwa saluni?

Wanaume: Huduma gani unapenda kupatiwa ukiwa saluni?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
 
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kumaliza kunyolewa, yule dada alipo niingizia kidole kwenye sikio wakati akiniosha......

Aiseeee, niliruka kwa mshtuko sana. Kisha niliwaka hadi nikafunga mtaa, na kuanzia skuhiyo nilipiga marufuku hata kupanguswa unywele baada ya kunyoa ni kuondoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kumaliza kunyolewa, yule dada alipo niingizia kidole kwenye sikio wakati akiniosha......
Aiseeee, niliruka kwa mshtuko sana. Na kuanzia skuhiyo nilipiga marufuku hata kupanguswa unywele baada ya kunyoa ni kuondoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 pale alikupa signal uniongeze ww ukambia Mali 🤣🤣🤣
 
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
Wapwa wanakwambia baada ya kulipia na ku - keep change, ni kuchukua namba ya simu na kufanya booking ya day off[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom