Wanaume hutongoza hivi,hamna mwanamke mgumu ataechomoa...

Moderator wa JamiiForums hii ihamishieni MMU huku iko misplaced!!! Kwanza mwanamke hatongozwi kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20 ukiitumia hyo hutowahi tongoza mwanamke na utawapata wa kutosha.
Weka hapa inasemaje? Badala ya kuitafuta wengi hawana access ya kitabu hicho. Ili tulinganishe na ya huyu mheshimiwa.
 
Mkuu Maarifa nimeshaweka hicho kitabu humu ila kuna hii video alioweka Mwl.RCT inaeleza vizuri zaidi kama waona kusoma inachosha. Kiufupi mbinu hii yaani law number 20, ukiweka kwenye muktadha wa mapenzi inaeleza namna ya kumfanya mwanamke akutongoze mwenyewe maana anaona vitendo kama unampenda alafu ghafla anaona kama huna nia yaani inaitwa kung'ata na kupuliza sasa ile Dilemma unayomuweka ndio itamfanya akutongoze.

Ukimaliza hyo chapter soma na law number 3 ambayo kimahusiano inasema IFICHE NIA YAKO.... Hii inakataza kabisa kutongoza mwanamke ila kuna vikitu unamfanyia hadi akuangukie mwenyewe na pia itakusaidia kukupa nguvu kwenye mahusiano afterall yeye ndio kakutongoza sio wwe hapo hatokaa akuchune wala akuburuze.

 
We honga tu, wenzio huku kitaa wanamgonga hata kwa Buku[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimbahatisha mwanamke yuko kwenye nyege Kali unamla

muosha rungu
 
Do not commit to anyone. Naomba ufafanuzi kidogo.
Sio muelezaji mzuri ila hii sheria #20 inakuja ukishatekeleza sheria nilioeleza hapo juu ya #3 ya kuficha nia yako yaani zisiwe wazi (usimtongoze) huku ukimuonyesha kwa vitendo kuwa wewe ndio mtu sahihi kwake hasa kwa vitendo hivyo akiona humtongozi ila anaona una viashiria vyote vya kumpenda au kumjali bila kuhitaji anythin back n.k hapo lazima ajitoe muhanga kukutongoza mwisho wa siku wewe ndio unakuwa na nguvu kwenye uhusiano maana yye ndio anakutaka!!!

Akishatick ili ssa umcontrol kwa kuwa na nguvu juu yake ndio inakuja #20 inayotaka usionyeshe umezama kwenye penzi ile deep kwa mwanamke bali muonyeshe vitendo kwamba unampenda akuone potential ila usimuonyeshe kuwa amekumiliki moyo na akili yako..... Yaani akuone almasi sababu anajua hajakumiliki hivyo akikosea tu atakupoteza... ni risky ila kwa mwanamke anayekupenda ataogopa kukupoteza hivyo atafanya kila nia asikupoteze hivyo utakuwa na NGUVU kwenye mahusiano.

Kwa mfano hai labda ntolee mfano wa kisiasa wa zitto kabwe alivyomake headlines awamu iliopita kwenye siasa za Tanzania ni sababu anatumia sheria hii yaani ni mpinzani haswaaa ila anawaonyesha CHADEMA kuwa hawammiliki maana huwa anawakosoa na kuwakandia kwa hoja nzito at the same time CCM wanaona kma anaweza kuwa mwenzao ghafla nao anageuka anawakosoa kwa hoja nzito huku at the same time akisifia serikali sasa hizo dilemma zinamfanya CCM wamtamani zitto na CHADEMA wamtamani pia ndio maana ikaongeza thamani ya zitto kwenye siasa za Tanzania maana pande zote zinahisi Zitto anawataka lakini wanaona hayupo committed kwao sababu zitto anawaonyesha hana mpango huo so demand yake ikaongezeka kwa pande zote mbili.... Ni mbinu chafu ila imesaidia wanasiasa wengi so hata kwenye mahusiano inafanya kazi hasa kwa wanawake wa siku hizi hawa wasiotabirika.

Sijui mfano huu upo relevant hapa ingawa sio jukwaa lake but ndio navyoielewa mmi hio sheria
 
Asante sana kiongozi ngoja nikisome tena hicho kitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…