Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20
Weka hapa inasemaje? Badala ya kuitafuta wengi hawana access ya kitabu hicho. Ili tulinganishe na ya huyu mheshimiwa.Moderator wa JamiiForums hii ihamishieni MMU huku iko misplaced!!! Kwanza mwanamke hatongozwi kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20 ukiitumia hyo hutowahi tongoza mwanamke na utawapata wa kutosha.
Umeina eeh!dreamliner oyeeeMgagaa na Upwa tunaenda jembe ni jembe kupata jembe fish
Do not commit to anyone. Naomba ufafanuzi kidogo.Moderator wa JamiiForums hii ihamishieni MMU huku iko misplaced!!! Kwanza mwanamke hatongozwi kasome kitabu cha 48 laws of power By R.Greene...... rule number 20 ukiitumia hyo hutowahi tongoza mwanamke na utawapata wa kutosha.
We honga tu, wenzio huku kitaa wanamgonga hata kwa Buku[emoji16]Moja...kukukatia tiketi ya Ndege,hamna mdada wa kisasa atakaekataa kupanda dreamliner kukufuata popote,kama upo Kahama(mji wa starehe, unamuomba muende Mwanza kwa Ndege usiende mbali kuokoa gharama,au kama upo bongo una fly to Zanzibar or Mafia(hapo lazima u-win)
Mwisho..kuachiwa simu ya kawaida yenye Mpesa kiasi cha laki mbili...unamwachia simu Hiyo ya Mpesa unampa na namba ya siri unmpa go ahead akijisikia kutoa atoe,baada ya week ukiomba urafiki lazima u-win hata mwanamke awe mgumu kama kisiki(huo huitwa uchawi wa kizungu)
Instagram: kaukwaju
Sio muelezaji mzuri ila hii sheria #20 inakuja ukishatekeleza sheria nilioeleza hapo juu ya #3 ya kuficha nia yako yaani zisiwe wazi (usimtongoze) huku ukimuonyesha kwa vitendo kuwa wewe ndio mtu sahihi kwake hasa kwa vitendo hivyo akiona humtongozi ila anaona una viashiria vyote vya kumpenda au kumjali bila kuhitaji anythin back n.k hapo lazima ajitoe muhanga kukutongoza mwisho wa siku wewe ndio unakuwa na nguvu kwenye uhusiano maana yye ndio anakutaka!!!Do not commit to anyone. Naomba ufafanuzi kidogo.
Asante sana kiongozi ngoja nikisome tena hicho kitabu.Sio muelezaji mzuri ila hii sheria #20 inakuja ukishatekeleza sheria nilioeleza hapo juu ya #3 ya kuficha nia yako yaani zisiwe wazi (usimtongoze) huku ukimuonyesha kwa vitendo kuwa wewe ndio mtu sahihi kwake hasa kwa vitendo hivyo akiona humtongozi ila anaona una viashiria vyote vya kumpenda au kumjali bila kuhitaji anythin back n.k hapo lazima ajitoe muhanga kukutongoza mwisho wa siku wewe ndio unakuwa na nguvu kwenye uhusiano maana yye ndio anakutaka!!!
Akishatick ili ssa umcontrol kwa kuwa na nguvu juu yake ndio inakuja #20 inayotaka usionyeshe umezama kwenye penzi ile deep kwa mwanamke bali muonyeshe vitendo kwamba unampenda akuone potential ila usimuonyeshe kuwa amekumiliki moyo na akili yako..... Yaani akuone almasi sababu anajua hajakumiliki hivyo akikosea tu atakupoteza... ni risky ila kwa mwanamke anayekupenda ataogopa kukupoteza hivyo atafanya kila nia asikupoteze hivyo utakuwa na NGUVU kwenye mahusiano.
Kwa mfano hai labda ntolee mfano wa kisiasa wa zitto kabwe alivyomake headlines awamu iliopita kwenye siasa za Tanzania ni sababu anatumia sheria hii yaani ni mpinzani haswaaa ila anawaonyesha CHADEMA kuwa hawammiliki maana huwa anawakosoa na kuwakandia kwa hoja nzito at the same time CCM wanaona kma anaweza kuwa mwenzao ghafla nao anageuka anawakosoa kwa hoja nzito huku at the same time akisifia serikali sasa hizo dilemma zinamfanya CCM wamtamani zitto na CHADEMA wamtamani pia ndio maana ikaongeza thamani ya zitto kwenye siasa za Tanzania maana pande zote zinahisi Zitto anawataka lakini wanaona hayupo committed kwao sababu zitto anawaonyesha hana mpango huo so demand yake ikaongezeka kwa pande zote mbili.... Ni mbinu chafu ila imesaidia wanasiasa wengi so hata kwenye mahusiano inafanya kazi hasa kwa wanawake wa siku hizi hawa wasiotabirika.
Sijui mfano huu upo relevant hapa ingawa sio jukwaa lake but ndio navyoielewa mmi hio sheria