Wanaume huwa hawaonji mara moja……………………..!

Itakuwa hiyo kitu wanaonja ni asali, kwani Anayeonja asali haonji mara moja.
 
Ni mara chache sana huw anatoa majibu kwenye post zangu, na hii ni kutokana na kutaka wasomaji wakune vichwa......... Kuna mtu alinitaka nitoe solution, sikutaka kutoa kwa sababu najua hapa JF kuna Great Thinkers ambao wanaweza kabisa kutoa majibui yenge busara..............Wewe ni mmoja wao.

Mungu akubariki.... Una upeo mkubwa sana katika masuala ya uhusiano, iwapo wanandoa hususan vijana ambao ni member hapa JF na wasomaji wengine wa JF watafuatilia post zako humu, watanufaika sana kwa ushauri wa bure..........

Pamoja daima
 
Kuna ka ukweli ukweli flani hapo.
 
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................



Babu unatania mbona ulipokuwa Zenj visiwa vya Nungwi kuna mtu alikuingiza majaribu...
 
wanaume wanasema huwezi kuwa na mwanamke mmoja kama mamayako thts y wanatoka nje ya ndoa kukanuka kauli hiyo though wanawapenda wake zao.
 
teh teh teh hapa kwetu uswazi mambo ni jino kwa jino si mwanaume wala mwanamke, ukimzid kwa tonge anakuzid kwa mboga, mume akigundua mkewe anatoka na jiran yake na yy anatoka na mke wa huyo mwizi wake, ( revenge), ujinga unahusika pia kwenye hili......
 
Hila nahisi kama wanandoa wanahofu ya Mungu... kweli ni vigumu sana kwa mume kutoka nje yandoa....Mungu anibariki nipate mke bora...
 
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................


Huyu dada anaendaga toilet kweli? alf utakuta boyfriend wake anamsaliti aaaaaaaah mi nachukia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…