Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Kutoka mara moja na kuacha siyo kawaida ya wanaume, labda tu kama atajifunza soma kubwa sana baada ya kutoka mara moja.
Suggest solution sasa, wanaume wafanywe nini hadi wasitoke nje.
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................
![]()
Nakuja mwanakwetu, Tukutane hapo Mkunguni................
Catherine unataka solution? Hahaha hakuna solution, labda kama ingewezekana ukate naniliu yake utie kwenye pochi utembee nayo, ukirudi nyumbani unairudishia....
Mbona tupo wengi tu?Purple upo?? amini nakwambia wapo, katika 1000 hukosi 10 wema na ambao hawacheat, ila mbaya cku hizi kuna ongezeko la mapunga kha!
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................
![]()
Umbea huo................................
Haya mkuu, nimekusikia na nimebadilisha hiyo picha, nadhani hii niliyoweka sasa ni nzuri zaidi.................................