Wanaume huwa hawaonji mara moja……………………..!

Wanaume huwa hawaonji mara moja……………………..!

slide-214-378x335.jpg

Kutoka mara moja na kuacha siyo kawaida ya wanaume,
labda tu kama atajifunza soma kubwa sana baada ya kutoka mara moja.


Hapo redi pananihusu. Mi nilijifunza kuwa unaishia kupigwa mizinga kwa sana, unafolenishwa, halafu unaishia kuichukia familia yako bure
 
Kwani wanaume wanapotoka wanafanya na nguruwe!!!, si watakuwa wanafanya na wanawake ambao wengine ni wake au wachumba za watu. Kwahiyo hili suala mi nadhani ni bila bila!!. Cha msingi linda chako, ukikamata chinja!.
 
Suggest solution sasa, wanaume wafanywe nini hadi wasitoke nje.

Catherine unataka solution? Hahaha hakuna solution, labda kama ingewezekana ukate naniliu yake utie kwenye pochi utembee nayo, ukirudi nyumbani unairudishia....
 
Last edited by a moderator:
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................

young-aa-couple.jpg

hebu come this way......
 
Catherine unataka solution? Hahaha hakuna solution, labda kama ingewezekana ukate naniliu yake utie kwenye pochi utembee nayo, ukirudi nyumbani unairudishia....

kwa Hali ilivyo mamii, hata ukiikata ukaweka kwenye pochi, wataiba pochi upoteze na simu na vitambulisho buree. Ukisema uivae shingoni kama kidani, ukisinzia wataichukua! Labda uimeze ikae tumboni kwako manake madaktari wa kukupasua waitoe wapi mgomoni!

Haiishi wala kupungua ladha, why bother? Kama ni ukimwi anajiadhibu kwanza yeye. Cross the bridge when u come to it, otherwise full bata!
 
Last edited by a moderator:
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................

young-aa-couple.jpg

heheheheeeeeeeeeeeee! Mtambuzi niseme nisiseme...................?!?!?!?
 
ngoja nikafungue dictionary na BS then ntarudi kuthibitisha.
 
Haya mkuu, nimekusikia na nimebadilisha hiyo picha, nadhani hii niliyoweka sasa ni nzuri zaidi.................................

yap hii imekaa poa sana..na ndio maana siku hizi mwanamke akikufumania utakoma kipimo akuache..lakini na sisi naona siku hizi kiwango kimeongezeka maan haya mafunizi ya uhakika yamepungua sana.mtu ataishia kuona sms tu..au ni mtazamo wangu tu bado yapo?
 
Mtambuzi ulosema ni kweli tupu, na mimi kuna kitu kimenijia nafsini mwangu wakati nasoma post za wachangiaji hapa, hivi tunasahau kwamba shetani aliyeasi mbinguni yupo dunian hapa? na je sisi binadam tumemkaribisha na kumkumbatia kama rafiki yetu?

jamani leo naomba niseme wazi kabisa a woman can control man's habit kama tu atafanya kwa upendo, uvumilivu na hekima ya kimungu basi. na hapa niko serious sana siyo matani. wanawake wengi walio amua kuipa familia na maisha ya ndoa kipaumbele hapa watakuwa na majibu mazuri sana.

hebu kwanza turudi katika uhalisia hivi u wapi uvumilivu wa mwanake? hivi makosa ya mume yanachukuliwa kama njia ya kumchukia ama kama changamoto kwa huyu mama? hivi matatizo ya kucheat ni kitu cha kawaida ama ni kitu cha ajabu? hivi kwanini tusijifunze kuwa watu wa kusimamia taratibu zetu? hvi muda mwingi wa mwanamke ama mama wa leo anaudedicate kwenye nini? hivi makosa ya mume ambayo wewe unayaona ni huko kucheat tu ama kuna mengine? hivi ulipoamua kuingia ndoani nini kilikushawishi? na je uliforeseen changamoto gani kabla ya kuingia?na ulizichukuliaje hizi ulliziwekea ukuta a ugomvi na ubomozi wa familia ama njia uliziwekea njia na taa ya kuelekea kwenye ndoa nzuri yenye amani na mafanikio?

mama busara na hekima yako unaitanguliza kwenye kutafuta hela tu na kazi za ofisini tu? wewe mama uko loyal kwa famialia yako? je do you have chastity? are you real dedicated to your family? is your hubby a man(baba) or your friend? and can you distinguish these two positions ndani mwako? sasa ukishajijibu haya yote ndipo uje sasa kwa upande wapili ambao ni wa maumeo. Binafsi familia nyingi ambazo mimi nimekuwa mshauri wa maswala yao ya ndoa nimegundua kuna ubinafsi mkubwa sana kwa wanawake ambao huwa tuna ublackmail kwa mapungufu ya kiume and this is what it eats our families
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom