Wanaume huwa mnajisiakiaje unapomwona mkeo analia?

Kwaito

Senior Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
140
Reaction score
36
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake kulia lia maana kuna wengne ni hobby kulia.
 
Itategemea na kitakachokuwa kinamliza. Kama umemfumania afu unamwambia analia unadhani utajisikiaje?
 
ofcourse sizungumzii kufumaniwa,nmesema mnapokuwa mmekoseana kwenye kauli au mambo mengne ya hapa na pale
 
Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL
 
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake kulia lia maana kuna wengne ni hobby kulia.

Naoa mwingine.......
 
hahahahaaaaaaaaaaa!
 
kheee kwa hiyo na wewe huwa unaliaga..
 
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake kulia lia maana kuna wengne ni hobby kulia.

inategemea na kosa lenyewe kama nimekosa mimi itaniuma ila kama amekosa yeye atajuta..
 
naenda bar ya jirani kupiga beer baridiiiiii.... huku nikipekua phone book yangu....
 
Yani nikisikia mwanaume anamliza amke wake kwa maneno, huwa nasema mwanamke kaolewa na mwanamke mwenzake.
 
Lakini wanawake wengi hutoa machozi ya simba. hivyo when she cries is one of the sign of manipulation
 
Yaani kuna wanaume wanagubu balaa yaani kuna jirani yetu yeye akiamka asubuhi hajui kama nyumba zingine wamelala na mkilala saa sita saba utamsikia alafu analisauti zito bayaaAa mpaka kuna siku mkewe alisusa kulala kisa kila akitafuta usingizi jisauti hilo
 
Naona kama umenisema mimi!
Itabidi nijirekebishe sasa.............................LOL
 
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake kulia lia maana kuna wengne ni hobby kulia.

kumbe kuna wenye hobby ya kulia?...aiseeee
 
Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL

Hahahaa tuna macommedian humu ndani!
 
kuna wanamme wanaongea sana kama wanawake, na maneno wanaongea makali lazima kama una moyo wa kike chozi likutoke, na kuna kulia mwanaume kakuudhi halafu haongei, yaani anakwambia tu sorry bby, anakubembeleza wee then mna do, huyu wa pili namzimikia sana
 
Back
Top Bottom