Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inapotokea mmetofautiana na mkeo na mkarushiana maneno ya hapa na pale ambayo yanapelekea mkeo kuanza kulia,wanaume deep inside your heart huwa mnajisikiaje? Assuming kwamba sio tabia yake kulia lia maana kuna wengne ni hobby kulia.
Mimi mama Ngina mpaka afikie kulia basi ujue hapo pamechimbika mbayaaaaa...................... Maana yeye anayo teamwork yake, Ngina Ngano na Ngadu wakiungana hao, siku hiyo Maji nitayaita MMA.......................LOL

Mpaka maji uyaite MMA si utakuwa umelia kiasi cha kutosha.......................Ogopa Teamwork, inatisha!kheee kwa hiyo na wewe huwa unaliaga..
Naona kama umenisema mimi!Yaani kuna wanaume wanagubu balaa yaani kuna jirani yetu yeye akiamka asubuhi hajui kama nyumba zingine wamelala na mkilala saa sita saba utamsikia alafu analisauti zito bayaaAa mpaka kuna siku mkewe alisusa kulala kisa kila akitafuta usingizi jisauti hilo