Nakwambia hivii.
Hii hoja ya "mwanamme kamili" ni unyanyapaa wa kijinga tu.
Tukianza kuichambua mwanamme kamili anakuwaje, hicho kipimo tunakihalalisha vipi, kwa nini kiwe kipimo hicho na si kingine, tutagundua hii hoja inasumbua watu wasio na elimu na exposure tu.
Ni hoja ya unyanyapaa wa watu ambao ama ni masikini na hawana elimu, ama wana umasikini wa kukosa elimu, ama ni watu wenye roho ya ubaguzi tu, ambao ni umasikini wa aina mbaya sana.
Ni aina fulani ya watu wajinga ku sexualize kila kitu.
Jamii inayoweka umuhimu wa kila kitu kwenye ngono ni jamii iliyo fail kwenda na dunia ya sasa.
Ni jamii iliyoshindwa kwenda kisayansi, kifalsafa, kiuchumi.
Kila kitu ngono ngono ngono.
Nani analala na nani.
Nani ana matako makubwa zaidi.
Nani msenge.
Ujinga mtupu.