sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Ni ajabu watu wanataka kubadilisha mboga wakati hawamudu. Watu wagumu kuelewa, utandawazi umeongeza mahitaji ya binadamu, bando, usafiri, simu nzuri, saluni, kodi ya pango na mengine mengi huko nyuma hayakuepo. Ni ajabu mtu anataka mwanamke wa miaka ya 80 kule kijijini hakuna simu, hakuna saluni na ukimuhitaji hautumii hata nauli, ni miguu tu.
Kwa sasa kuchumbiana ni gharama maana kama mwanaume inabidi umgharamie mwenza wako kwa uwezo wako. Kama hauna uwezo, cha kufanya ni kutulia na mtu wako mmoja ungharamie, akupe unachotaka. Kulalamika kumezidi na hakuta saidia!