Wanaume kama Mabinti

Status
Not open for further replies.
hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?
Alaaaaa!!

hhaaaaaaaa nini sasa una hasira??

weeee!! nani anabeba? house girl sio? au unaishi dawasco, maji hayakatiki? huendi sokoni? hutoi vitu kwenye gari kama unalo? Mimba je? sio kitu kizito, au jamaa ndo anabeba

Look at you........

maji hayakatiki... tunaenda wote store.. he is the one who push the trolly.. sitoe kitu kwenye gari.. my husband is a gentleman he dont allow me to do that...

mimba ntabeba mie but thats something else... sio ndoo ya majiπŸ™„

he doesnt???? lucky you.......he is a real gentleman!!
 
hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?
Alaaaaa!!

Dah shemeji yetu basi ana raha atakuwa kanenepa sana.
 
Ndoa za ukweli sasa hivi hamna,kilichobakia ni kuuamishia karibu yako tu uzinzi na uasherati ukiuchoka unaukimbia/kimbiza,yani hiyo ndio life style ya hiki kizazi cha joka!!
 
maji hayakatiki... tunaenda wote store.. he is the one who push the trolly.. sitoe kitu kwenye gari.. my husband is a gentleman he dont allow me to do that...

mimba ntabeba mie but thats something else... sio ndoo ya majiπŸ™„

huu ndio mfano wa mke wa ovyo kabisaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hata thinking capacity of such woman is objected.......................... kujifanya mjinga ndio kuwa gentleman.................hiyo store kaitamke vijijini kama wanaijua................... na mimba yamekushinda tu, vinginevyo ungetaka nayo abebe. hii inaonyesha jinsi gani mianamike ikipata midume ***** inavyoipeleka puta........................, halafu eti haki sawa................ aaangrrrrrrrrrr.....................

ngoja siku akitia akili kichwani......................................
 

ungepindwa tu................., sasa kinachokusukuma upindwe saa hizi ni nini???????????/ tatizo lenu mkishika vijisenti mnasahau wjibu wenu wa asili.................. hapo tu ndipo huwa tunagombana......................... unamshukuru Mungu kuzaliwa wakati huu........................ ulimwomba hayo???????????????///
 
Gender Sensitive,

Mapenzi ya siku hizi yameshuka sana,si wanaume si wanawake hatuoi wala kuolewa bila kuweka vigezo kwa yule unayetaka kuwa naye.

Unaposema vigezo unamaana gani? Siamini kama mtu anaweza kuoa/olewa pasipo vigezo! Hata zamani vigezo vilikuwapo, tena vingine vya kumkandamiza mwanamke! Imagine siku ya 'harusi' inafanywa test (shuka nyeupe?) kuestablish kama mwari alitunza bikra yake!


Jaribu kutizama upya ufahamu wako wa historia ya mambo haya. Naona kama kuna kitu unakimiss au umesahau. Zamani kulikuwa na mahari kubwa (ng'ombe nk) tu amabayo ilikuwa inatolewa na wazazi wa mwanaume kwenda kwa mwanamke. Vilevile mwanaume alikuwa anachagua ukoo wa kuoa (kwa mfano kama wana historia ya magonjwa sugu au uchawi) watu wanakwepa kuoa kwenye koo za namna hiyo. Sehemu nyingine mwanamke 'mvivu' ilikuwa shida kupata mume!

Zaidi ya hayo ndoa nyingi siku hizi zinavunjika uklinganisha na miaka ya zamani.

Ni kweli hapa kuna shida lakini sidhani kama inaletwa na vigezo.

Hivi ninyi wanawake na wanaume mnaoweka vigezo je mnaoa ama kuolewa na vigezo au mtu? je vigezo hivi tunavyoweka vinongeza nini katika maisha ya ndoa?

Unaoa/olewa na mtu. Lakini mtu huyu si lazima awe na attributes fulani. Kama ingekuwa tunaoa bila vigezo, mbona hilo zoezio lingekuwa rahisi sana (you just pick mtu yeyote hata kama umefumba macho!).

na je vingekuwa na maana mbona ndoa za siku hizi nyingi zao hazina mvuto?kila siku kufumaniana,kama sio laivu basi kwenye simu n.k.

Hii haitokani na vigezo.

Jamani hebu tuache mapenzi yachukue mkondo wake,tusiilazimishe mioyo yetu ijifunze kupenda kwasababu tu ya kuangalia vigezo,tukumbuke mioyo huwa haijifunzi badala yake ina penda yenyewe kwa kuamua yenyewe.

Kimsingi, ni vigezo ulivyoweka (consciously or subconsciously) ndio vinadetermine mtizamo wako juu ya mtu fulani na kuamua 'kumpa' penzi lako.
 
haha acha hasira ...... first of all u sounds like you dont have respect for women.. mianamke? is that how u call women? there is better way to call us...

I dont understand what kind of man who let his wife to carry heavy stuff πŸ™„ mie kijijini nilishaondoka siku nyiiingi kwa hiyo hakuna noma kabisa...

kwani nikibeba hivyo vitu ndo ntakuwa mke wa maana? i will only lose my feminine look... I do other stuff that he love and which makes him appreciate me more πŸ˜‰...


Acha wewe He can carry everything but Mimba ntabeba mie, see I am not asking for impossible...
 
u r soo funny u know that?

ebu niambie wajibu wetu wa asili ni upi exactly? halafu mie ntakwambia wajibu wangu ni nini... kwani nani mwenye nguvu mwanamke au mwanaume? u want me to carry ndoo ya maji alafu iwe vipi?.... yeye akae ananitizama?
 

unajua sometimes nakuwaga na hasira sana na maneno yenu haya ya beijing................. umepata mwanume mpole sasa unachonga eti unaita mapenzi, unajua yeye kakubali tu iwe hivyo ili afikie malengo yake????????? ila namuonea huruma , unamtesa sana. nadhanai hata huku chumbani umetengeneza manual anayopaswa kuifuta kukamilifu ili afanikiwe kugida...............

u r soo funny u know that?

ebu niambie wajibu wetu wa asili ni upi exactly? halafu mie ntakwambia wajibu wangu ni nini... kwani nani mwenye nguvu mwanamke au mwanaume? u want me to carry ndoo ya maji alafu iwe vipi?.... yeye akae ananitizama?

waajibu wa mwanamke ni kumheshimu mwanume, kumnyeynyekea na ikibidi kumlilia, potelea mbali hata kama ni kilio cha kichina! ukishafanya hivyo, mengine yooooote yatajleta yenyewe, kwa kweli hata apetite ya yale mambo itakuja hadi utakimbia nyumba..............
 
hahah naona hasira zimepungua.. ... hakuna manual kila mtu anajua wajibu wake...

whoooa!!! I do respect him a lot... na kumlilia sometimes I do... lakini kumnyenyekea sounds like extreme to me why should I?

haya sasa ndo hayo mambo nayakataa i dont want that kind of appetite...πŸ™„ unadhani akianza kuninyanyasa ntapata hiyo appetite,,, there were things start to blaze...
 

hahaha Gaijin umenichekesha mbona unakuwa komandooo..
 

Sidhani kama kuweka vigezo vya mwenzi mtarajiwa ni tatizo.. hata kama mtu havitaji hadharani... hata katika nafsi na akili(subconscious) mtu huwa navyo tu. Muhimu vigezo visaidie kujenga mahusiano ya kudumu na familia bora, yenye urafiki, yenye kusaidiana na yenye upendo wa kweli pasi kujali hali ya kipato..! vinginevyo itakuwa mchezo wa kuigiza tu.
 

unajua kuna wakati tunaelekea kuelewana halafu unaruka tena futi mia juu!!!!!!!!!!!!!!

sikiliza babe, kunyenyekea ni lazima na ni sehemu ya maromanzi............. umenipata fresh hapo eee....................

halafu mzee akiwa na ppetite safi, yako itakija tu, si unamringia kidogo, unageukageukaa hivi ..enagunaguna..... unasusasusa.......... handi anaanza kukubembeleza, halafu utashangaa chemchem hko down inavyogeuka kuwa active!!!!!!!!!!!! mnajua mnatoka kwenye mkondo wa romance za asili mnaingia kwnye artifisho sana. mzee wala hahitaji mambo ya koni wala nini kama unajua hiyo kitu ya kunyenyekea, bomba halikauki maji ng'o!!!!!!!!.............
 
pole pole Akili unaanza kunipotoza ... kumnyenyekea kwenye romance is not an issue... u r teaching me romance now? i am very fine in that department... as long as i dont carry ndoo za maji, shopping bags etc etc ...πŸ˜€
 
kuna kamsemo siku hizi (hasa kwa wakaka) kuwa kwa vile mtu huwezi kujichagulia wazazi so kuzaliwa na wazazi wasio na kipato sio kosa lako, ila kuwa na wakwe wasio na kipato ni chaguo lako.
 
kuna kamsemo siku hizi (hasa kwa wakaka) kuwa kwa vile mtu huwezi kujichagulia wazazi so kuzaliwa na wazazi wasio na kipato sio kosa lako, ila kuwa na wakwe wasio na kipato ni chaguo lako.

My friend, wakwe wanaweza kuwa na kipato na wala kisikusaidie sanasana ukabaki unasimangwa tu. Pengine kitakacho kusaidia ni kwamba hawatakutegemea kiuchumi sana. Take my words, mtoto wa kiume lazima ujitahidi kuyamudu maisha yako na familia yako bila kujali kama utajapata mke mwenye kazi nzuri au wazazi wazuri.

Unatakiwa ujiandae toka ujana wako kuwa kichwa cha nyumba, kama mke atakua na kipato hayo ni majaliwa unakua umebarikiwa zaidi. Tusibadili amri ya Mungu kuwa utakula kwa jasho lako, hiyo alipewa Adam. Kama una uwezo, kuwasaidia ndugu na wazazi wa mkeo ni sehemu ya mapenzi hata kama wana uwezo jitahidi angalau zawadi wapelekee ndio watajifariji kwamba nawe ni sehemu ya familia yao na watoto wako watabarikiwa.

Mwanamke hata kama ana uwezo anaajiaminisha kuwa unampenda unapompa material things, zawadi, outing n.k

Mapenzi ya kweli bado yapo japo kwa kubahatisha ila ni vigumu kuyasoma kutokana na mazingira ya sasa ni tofauti na zamani..
 
pole pole Akili unaanza kunipotoza ... kumnyenyekea kwenye romance is not an issue... u r teaching me romance now? i am very fine in that department... as long as i dont carry ndoo za maji, shopping bags etc etc ...πŸ˜€

can you show me a fine line between romance and other sides of life???/ dou you know that romance can run even in the stores during shopping............. sasa ukigomea shopping bag mzee akauchuna ujue umeishathiri romanzi zako mama.............. atahri zake zaweza kutokea baada ya kitambo bila wote wawili kujua na ndio maana utasikia mtu mzima analalamka..............."ooh, kila kitu namtimizia lakini nimegundua ana mwanamke mwingine".................... shauri yako........... just an advice.....................
 
Sidhani kama usawa wanaoulilia wanawake ni huu.

My point ni kwamba, society yetu ina double standards. On the one hand inaonekana ni sawa, chivalry etc kwa mwanamme kuwa provider and all. On the other hand, wanaume wengine wakitaka faida za "usawa" ili wao nao wawe provided for wanakuwa labelled "wanaume kama mabinti".Mimi nafikiri wanaopigania usawa wa jinsia wangeanza na kuipiga vita hii dhana inayo mu elevate mwanamme na in the procss kumtwika reponsibilities - angalau the appearance of responsibilities- disproportionately.

Angalia hata jina la wimbo wenyewe limekaa upande, "Wanaume kama mabinti" what mesage is she trying to send? Perhaps on the subliminal level JD anaona mabinti kuwa tegemezi ni sawa tu, ila wanaume wakianza kuwa tegemezi inakuwa si natural position yao, mimi naona as much as this phenomena is a problem for both genders, hizi approach za kina JD nazo, zilizoota katika msitu wa tradition, zinapalilia matizo.

Wanaume kama mabinti kwa mtu anayefikiri, in this context, is insulting to mabinti, kwa sababu ina propagate the notion kwamba mabinti naturally ni walegevu na tegemezi, kwa hiyo wanaume wasitake kujilegeza na wao kuwa kama mabinti.

Kama wanawake wanataka usawa kuna mawili, wakubali wanaume wanaokuwa "kama mabinti" au wakatae hii notion ya "mabinti" kuwa naturally walegevu na wategemezi.

There is no trade off between the two.
 

Daa,hongera mkuu kwa kupangua hoja zangu.Nakubaliana na wewe kwa uliyoyasema,kimsingi mimi nilikuwa namaanisha siku hizi ndoa nyingi haziko basing on love.Unakuta mtu kajiwekea vigezo kwa mwanamke au mwanaume anayemtaka kwamba ni lazima wae landa na elimu fulani,familia yao lazima iwe na uwezo kifedha tofuti kidogo na zamani,ni sehemu chache sana zilianagalia hali za kifedha toka upande wa pili,hili halipingiki.Hoja ya vigezo vya bikira sio sahihi kwakuwa kwanza kulikuwa kuna makubaliano and then siku ya harusi ndo bikira zilikuwa zinakaguliwa hivyo hatua ya kwanza haukiwa bikira.Mimi nadhani real love haina vigezo,unafall popote bila kujali,sijui kabila,rangi,dini,elimu n.k,(Unconditional love.) hiki ndicho nichokizungumzia mimi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…