RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 200 Nov 6, 2010 #1 Bonge la ushauri aisee
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 103 Nov 6, 2010 #2 hiyo ni noma,huo ushauri kama unamuona anyekupata una mpa tu mabomu ya machozi.
M mtanzania1989 JF-Expert Member Joined May 20, 2010 Posts 4,068 Reaction score 6,758 Nov 6, 2010 #3 :smile-big:
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 200 Nov 6, 2010 Thread starter #4 Inafundisha watu wanaokimbilia kwenye columns kuomba ushauri kuhusu mapenzi au ndoa zao
B Bi. Mkora JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 374 Reaction score 60 Nov 6, 2010 #5 Te te te teeee ha ha haaaaaaa! Duh! Hii kali kwelikweli.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Nov 6, 2010 #6 Yap, ndio raha ya ushauri una uhuru wa kuukubali au kuukataa ushauri huo,akili kichwani!!
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Nov 6, 2010 #7 duuuuuuuuuuh hii noma