Wanaume katili kama hitler

Wanaume katili kama hitler

huh....................hbu nisubirie gem ya Man U,wenyewe wanakuja asa hvi
 
MWANAUME KATARI , JAMII YA AKINA HITLLER
unajua ilivyongumu kuishi na mwanaume mwenye mtazamo kwamba kila kitu unafanya fanya kama ninavyokuelekeza au in my way na anaamini huo ndio ushirikiana wa wanandoa.
Ni kama anajitahidi kufidia yale mama yake alikuwa anamfanyia na ni kweli kwake mwanamke ni kifaa fulani si mtu, si kiumbe sibinadamu

mkuu diddy hizi pumba huwa unazitoa wapi ati?
 
PDidy must be on cracks... huwa sielewi flow ya taarifa zake
 
PDidy must be on cracks... huwa sielewi flow ya taarifa zake

kuna watu wameshauri apewe jukwwaa lake maalum
kwani yuko more usefull.wewe hujaiona hiyo thread?
 
kuna watu wameshauri apewe jukwwaa lake maalum<br />
kwani yuko more usefull.wewe hujaiona hiyo thread?
Thread zake zinaelimisha sema nae amezidi bhana kila sekunde anatoa thread mpk zinaboa ......kama muvi z kibongo!! kila cku muvi mpya.
 
Back
Top Bottom