na kweli itashangaa tunasafiri kwenye basi then tunashuka kuchimba dawa, mi jitu inashika mi ndundu yao hainawi zinakuja nyama watu wananunua na kula ivo ivokukojoa hali ya kua umechuchumaa ndo ustaarabu mzuri na ni usafi!tena wangeongezea lazima unawe unapomaliza!
naunga mkono hoja.