Wanaume kinachotuhangaisha nini??

Wanaume kinachotuhangaisha nini??

Uzuri wa mwanamke uko kwenye makalio jamani! Vijana wa sasa wanasema tiGo
 
Kaka hii mambo tangu Adam na Eva. Watu walitaka kujua siri ya nguvu za Samson, kila mbinu ikashindikana, baadae wakamtumia Delila(Msichana) unakumbuka? kikaeleweka. Sasa jibu rahisi ni nature, thats it. Hata mfalme Daudi yalimkuta. Watu wajitahidi tu kushinda ushawishi ila mmh!!!
 
Baba mchungaji na BAK acheni kuchakachua bandiko!Sifieni tabasamu muende zenu!

Napenda kila kitu kwako pamoja na......na tabasamu ......na ..............napata kigugumizi cha vidole
 
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
Kwanza kamata thanks kwa kuleta mada inayoweza kujadiliwa sio zile eti nimtongozaje rafiki wa dadangu,kuna jamaa alikuwa na rafiki wa kike ambaye alidhamiria kumuoa akapata hela na kwakuwa alikuwa mtu wa kusafiri na alimwamini sisteri akanunua nyumba na kumuandikisha.Aliporudi akakuta bidada ana mwanamme ndani na kuambiwa atoke haraka au ataitiwa polisi hana chake pale,jamaa alilia kama mtoto na kuanza upya kutafuta hela.
 
Mungu aliwapendelea sana wadada! I miss Sukumaland wadada huweza weka kata ama mtoto mgongoni bila hata kufunga khanga

Napenda kila kitu kwako pamoja na......na tabasamu ......na ..............napata kigugumizi cha vidole
Rev kwa heshima na taadhima kauli zako hizi mbili zinapingana kama umependa kilakitu kwa Liz usingekumbuka wadada wa Usukumani wenye kubeba mtoto bila kumfunga na kwa kuzingatia anatoka kaskazini,nawasilisha hoja.
 
Naomba Mwongozo Mh Mgombea mwenza!

Sawa anatoka Kasikani ila wazazi mmoja wapo anatoka Usukumani....Mh Uporoto01 unimesoma mambo ya kuchukua baadhi ya traits kwenye genetics wakumbuka.

Asante Mh Uporoto01
 
Uporoto nakugongea Thanks kwakujali maslahi yangu ila juzi mmmh!Ngoja ninyamaze!
 
Naomba Mwongozo Mh Mgombea mwenza!

Sawa anatoka Kasikani ila wazazi mmoja wapo anatoka Usukumani....Mh Uporoto01 unimesoma mambo ya kuchukua baadhi ya traits kwenye genetics wakumbuka.

Asante Mh Uporoto01
Ni kosa kubwa kumsifu mwanamke mwingine mbele ya Liz.

Baba mchungaji hana mgombea bwana!Ye ndo mpango mzima!
Si unaona Masa Liz is yours to lose so don't snatch defeat from the jaws of victory.
 
Back
Top Bottom