Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Hadza

Senior Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
162
Reaction score
164
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
 
inasemekana average mshindo mmoja ni kama kukimbia km7 so ukihakikisha na yeye amefika maana yake umemkimbiza mtu km 7 nyengine jumla 14
so jiulize mtu ukimbie km 14 ukirud hutalala fofofo kwel?
 
muache alale, kwa sisi watu wazima lazima pawe na kitaulo laini pembeni ya kitanda, noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…