Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Inategemea na mazingira ya tukio kwa utafit wangu bao moja ni SAA moja na nusu au 40 kabisa sjajua wengine
 
Inategemea na mazingira ya tukio kwa utafit wangu bao moja ni SAA moja na nusu au 40 kabisa sjajua wengine
Kudanganyana tu...... tatizo ni kutokula healthy foods.

Mbaya zaidi hata wanawake hawajui wawasaidie vp wapenzi wao. mchana kutwa wako busy bandika mikucha ya bandia na kuchat.
 
Kulala sio lazima Sana japo Kuna kauchovu flani kanakuepo na Ile hamu ya mwenzio kuondoka kiasi!ila hakuchukui mda mrefu Sana,

Sisi wengine after the first round unakaa na chupa lako kuubwa LA maji baridi kiasi na kuanza kuyagigida taratiibu huku ukitafuta kasi bila pupa,

Bila kukosa vile vipande vyetu vya miogo mibichi vidogo vidogo ukivitafuna, then baada kama ya nusu saa hivi u go for the second

Baada ya mjadala mrefu na kuhakikisha kabisa kua mwenzio yu taabani,unamaliza mchezo huku ukilielekea bafu kwa kupata maji yakuondoa uchovu,hapo Sasa waweza Pata usingizi murua kabisa.
 
Wanaume wa dar hao ......ndo wanalala fofofo jaribu radha ya mikoani mama wewe ndo utalala fofofo
 
Sex is a refreshing act.
Ukiona inakuwia mzigo, ujue wewe ni jipu.

You are what you eat. Kula vzr, pumzika vzr, pumzisha akili yako
fanya mazoezi, kuwa mnywaji mzuri wa maji wakati wote.
Epuka sana kula chakula kizito masaa sita kabla ya tendo la ndoa.

Tendo la ndoa sio chokeshi bali ni tendo furahisi na sisimshi.
ikiwa tu mwili wako uko vizuri na stamina ipo yakutosha.

Kama shida ni nguvu inayotoka Mbona watu wanakimbia zaidi ya KM 10?
hatuwaoni wakisinzia ama kulala? Stop finding excuses.

Tz
 
Watu wanachanganya

Hata ule msosi gani kama haupo physic utafeli tu

Ulaya,Asia hakuna ugali wala mihigo

Kitambo sana machalii wangu Fulani wakiwa na game basi wanakimbia mpk beach aga khan huko wata sprint ,kimbia kwenye mchanga wa beach siku ya game wanatawala wao tu

kusema point ya chakula huwa napinga kabisa ,chakula hakikupi stamina

Ndio maana ukienda aga khan utawakuta mafather wanakimbia ,kutafuta stamina
 
Ukiona hivyo unatembea na wenye Vitambi,,
Flat screen Hatukoromi Hovyo hovyo.

Jaribu kutest maumbo mengine.
Yani wenye vitambi ndio wanaongoza kwa kweli, kuna mmoja huyo yan ilikuwa akimaliza round 1 mpe dk tu hata kwenda kujisafisha hawez koromaa hapo2 yan na ndio nilikuwa nashukuru namsaidia tu kumvua kinga na kumfuta ,namfunika na kumzimia vitu ndani kwake funga mlango wake me yule kwangu hatuchoshani mpaka asbh
 
inasemekana average mshindo mmoja ni kama kukimbia km7 so ukihakikisha na yeye amefika maana yake umemkimbiza mtu km 7 nyengine jumla 14
so jiulize mtu ukimbie km 14 ukirud hutalala fofofo kwel?
mmmh asubh asubuh umecomment kwenye hii mada umetisha
 
Mwanaume ndiyo hufanya kazi ngumu ya kumridhisha mwenza kwa hiyo lazima achoke... mwanamke hana kazi yoyote zaidi ya kutoa visauti sauti...
 
Uyo no uliye lala nae wewe cdhani kama ni wengi kama ulivyosema kumbuka binaadam hawako sawa.
 
Sema "baadhi ya wanaume" wengine huu ni wakati wa kuendelea na maromance ya nguvu na mrembo.

Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
 
Mkuu, nguvu inayotumika kila mwanaume akifikia kilele ni sawa na kukimbia kilometa nane. Ukitoka kukimbia kilomita nane ukajitupa kitandani utalala fofofo!
Hata wale wa dakika 2 kama vya jogoo nao wanahesabu 8 km?
 
I think this one comes with age. Ukiwa 20s fit wa mwili, huwezi kukoroma ovyo baada tu ya kutoa wadhungu, lakini kadri umri unavyoenda, unapunguza zile physical activities na mambo yanabadilika.
 
Back
Top Bottom