Hongera kwa kuwa mdadisi sana, wataalumu waliofanya research kwenye suala hili waligundua ya kuwa mwanaume akitaka kutoa shahawa kunakuwa na high release ya DOPAMINE ambayo inahusika na activating effects, so it's excitatory neurotransmitter ila baada ya kutoa shahawa kunakuwa na release ya SEROTININ which is neuro-relaxants ambayo kazi yake kubwa ni kuleta usingizi na kushusha pressure so utaona hiyo kitu ni biological occurence kabisa.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?