Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

haahaaaahaa...hata wao wamo au wale dadazangu toka Mwaanza waliokuwa wanashinda pale Davies kona enzi hizo mpaka wengine washaolewa na wanaume wa dar
Wanaume wa Dar wa enzi hizo sio wa sasa sheikh ....yaani sasa wamelegeea kama povu la mlenda
 
mwanaume anasema "nimetoka kugegeda"
we utasemaje?
Hakuna mwanaume Rijali anaweza sema huo upuuz wa neno Kugegeda, only boys tena wale wasio na bahati ya kupata watu waliowapeleka Eden, yaani mume wangu aseme "mke wangu nimekugegeda" si wehu huo! Mkuu hapa unajidhihirishia namna gani ulivyo hujui mapenzi unajidharirisha tu hapa mwisho mwaka huu uje nikupeleke Tanga ukajifunze kidogo nitakuacha kwa wiki Moja then nitakufuata alafu uniambie kama uligegedwa uligegeda ama mlifanya mapenzi with a full participation ya wewe na bibie,
 
Yaaani nilale..tena fofofo,aisee ukiona hivyo ujue shoo ilianzia ugenini!
 
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?

Labda kwa ww ila kama mm mwanamke ndo waga analala fofo kabisa yena anaishiwa nguv kabisa hata kwenda kujisafisha lazima umuamushe la sivyo atalala hivyohivyo,na ni kila mwanamke nikimkojoza tu ni lazima afanue hivyo.
 
mimi hiyo kitu sijui,ila mbona mimi huwa napiga nyeto hata bao mbili ila silali?Au ni tofauti na ukiwa unapiga K yenyewe?K ina maajabu gani?Waliowahi kufanya vyote nijuzeni
Acha zengwe kaka mkukwa
 
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
Mwanamke akiwa hivyo kwamba bado yuko fiti ujue hajagongwa penyewe, akigongwa sawa atalala hapo hapo.
 
Wanasayansi hawaachi hata jambo moja likapita bila kulifanyia tafiti, kuhusi hili kuna nadharia (theories) nyingi sana ila kuna hizi mbili nilizozielewa zaidi.
1. Kuhusu kiwango cha nguvu(Energy) inayotumika kutoa mbegu. Wanasayansi wamelinganisha uchovu anaupata mwanaume baada ya kumaliza tendo moja na kutembea umbali mrefu wengine wakifika hadi km 14 (kwenda na kurudi).
Mwili huwa mchovu kipita maelezo na hulazimika kupumzika kwa kulala.

2. Kuna homoni inayoitwa "Prolactin". Prolactini huzuia kemikali inaitwa suppresses "dopamine". Dopamine ndio humuweka mtu awe macho(asiweze kulala).
Prolactine huzalishwa kwa wingi na kufikia kiwangi cha juu baada ya mwanaume kufika mshindo na kudhibiti kabisa Dopamine isiweze kufanya kazi, hii husababbisha kupitiwa na usingizi wa ghafla.
Pia kuna homoni "oxytocin". Homoni hii ndio hufanya mwanaume anajisikia rahaa anapofika mshindo.
Hizo raha huondoa misongamano ya mawazo na kujisikia mpya kabisa, kukufanya mwili wako "kurelax" na kufanya rahisi kupata usingizi, kazi hii huwa rahisi sana ngono inapofanywa kizani.
Ila kama kuna mwanga hafifu ana wa kutosha basi mwili utaongozwa kuwa ni muda wa kulala, ikitokea hivyo homoni "melatonin" hufanya taratibu zote za usingizi na hulala bila mashaka.
Kwa hiyo basi zinapokutana prolactin, oxytocin, and melatonin Usingizi huwa mzito balaaa na wengine hunogewa na kuanza kukoroma kabisa.

Wakati hali huwa tofauti kwa wanawake, homoni ya prolactin haitolewi kwa kiwango kikubwa cha kuweza kudhibiti dopamine isifanye kazi yake baada ya kufika mshindo. Ila wapo wanaolala sababu kubwa huwa Uchovu wa shughuli husika na Shughuli zingine za ziada alizofanya.

Ila kwa wanaume, ukulala chali na milalo ya usingizi uliyozoa Huraisisha Kupitiwa na usingizi kwa haraka zaidi.
Inashauriwa ukimaliza tendo epuka milalo yako ya usingizi uliyozoea.
 
Back
Top Bottom