Kumbe una uzoefu wa wanaolala ma wasiolala. Hongera!hapana uzembe mbona wengine hawafanyi hivyo
hivi ushapokea mahari yako kwa yule bwana?Yaani nikupeleke Hotel room nipige bao and then nisinzie?😡😡 Acheni uongo
mm mgeni karanja labda ulete ww mm sijui kituShunie mamii lete maexperience ya malavidavi jamani.
Mmmh Umenifananisha Ghafla Mbona Miss Natafuta Mahari nichukue vipi sina Binti na kwetu ni waliosalia ni Midume tupu madada zetu tulishaoza kitambo sanahivi ushapokea mahari yako kwa yule bwana?
wewe si ulinidalalia kwa yule bwana aliedondoka njooni weweMmmh Umenifananisha Ghafla Mbona Miss Natafuta Mahari nichukue vipi sina Binti na kwetu ni waliosalia ni Midume tupu madada zetu tulishaoza kitambo sana
Ah duh nilishasahau vipi kalaza damu? niamke mwenyewe... mie alinichimba mkwala nikamuachia... yaelekea nae ndio wale wanafukuzia na pindi wakikubaliwa wanaanza kuogopa ogopa na speed inawakatikia kabisa... maana huwa wanapania mno....wewe si ulinidalalia kwa yule bwana aliedondoka njooni wewe
amelala hapa ! yaani anakaba huyu kwani siku hizi unaniona ona tena humu?Ah duh nilishasahau vipi kalaza damu? niamke mwenyewe... mie alinichimba mkwala nikamuachia... yaelekea nae ndio wale wanafukuzia na pindi wakikubaliwa wanaanza kuogopa ogopa na speed inawakatikia kabisa... maana huwa wanapania mno....
Bahati yake Gundu limeisha nadhani sasa... ila akizingua niambie nije kukubebaamelala hapa ! yaani anakaba huyu kwani siku hizi unaniona ona tena humu?
ahahaaa akiamka atakuta ujumbe wake huku anakoroma nyumba nzima utadhani kalipa kodiBahati yake Gundu limeisha nadhani sasa... ila akizingua niambie nije kukubeba
Hapo kwenye red naye ndiye hao hao wa kulala fofofo baada ya bao? basi kazi ipo
Acha kufanya mapenzi na wazeeHabari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
Sasa kama umesha gegedwa kuna shida gani kidume akipiga usingizi wake? Tena usimwamshe maana akiamka tu shughuli inaendelea.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
Yani wenye vitambi ndio wanaongoza kwa kweli, kuna mmoja huyo yan ilikuwa akimaliza round 1 mpe dk tu hata kwenda kujisafisha hawez koromaa hapo2 yan na ndio nilikuwa nashukuru namsaidia tu kumvua kinga na kumfuta ,namfunika na kumzimia vitu ndani kwake funga mlango wake me yule kwangu hatuchoshani mpaka asbh
Kama hukumfikisha mwanamke kileleni hawezi kulala, ila ukimfikisha kabisa akamaliza hamu zake, atalala usingizi mzito sana.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
😀😀😀 itabidi ununue headset za kuzuia sauti kama zile za kwenye helicopterahahaaa akiamka atakuta ujumbe wake huku anakoroma nyumba nzima utadhani kalipa kodi
Mimi huwa silali naogopa kuibiwa au anaweza kufanya kitu chochote kibaya labda kuweka sumu/dawa ya usingizi. Kwa kifupi silali, yani silali, haki vile silali.
*kingine kukoroma ni tabia ya mtu, mimi sikoromi.
Asante mkuuKumbe una uzoefu wa wanaolala ma wasiolala. Hongera!