Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,311
- 7,658
videmu vya siku hizi unakihangaikia kikipiga tatu ni uzembe..labda mkeBoa za kibingwa zisizidi tatu izo nyingine mbwembwe na angalia siku usije kukojoa damu
videmu vya siku hizi unakihangaikia kikipiga tatu ni uzembe..labda mkeBoa za kibingwa zisizidi tatu izo nyingine mbwembwe na angalia siku usije kukojoa damu
Usisahau kupima leo ni burevidemu vya siku hizi unakihangaikia kikipiga tatu ni uzembe..labda mke
"kupima ukimwi wakati unajua hauna dawa ni ujinga mwingine"
Ndio mkuu kuna sababu ya kibaiolojia.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
She ain't your mama, mwanaume kama mtu mzima ajitunze afya yake mwenyewe na huwezi kumlazimisha mtu kula vitu vyenye afya. Tunashuhudia familia nyingi wanasema baba hapendi mboga za majani, sijui hapendi dona n.k atatoa wapi staminaKudanganyana tu...... tatizo ni kutokula healthy foods.
Mbaya zaidi hata wanawake hawajui wawasaidie vp wapenzi wao. mchana kutwa wako busy bandika mikucha ya bandia na kuchat.
Mwanamke ni recipient so anaweza kuweka auto pilot na show ikafanyika kama kawa!Huu umbali una apply kwa wanaume tu? kwa wanawake je?
Km 30Huu umbali una apply kwa wanaume tu? kwa wanawake je?
Sio kweli mkuu.Uchovu wa kusaka tonge kutwa nzima, ukirudi home umechoka, wakati huo huo unatakiwa utimize wajibu wa ndoa, na mkumbuke kuwa hata mkiajiriwa nafasi moja mwanaume na mwanamke, mwanaume hutumika zaidi, hivyo huchoka zaidi kuliko mwanamke so akipiga kimoja lazima alale fofofo
And I ain't your Dady either,.....then why come crying here.....go to ur dady.She ain't your mama, mwanaume kama mtu mzima ajitunze afya yake mwenyewe na huwezi kumlazimisha mtu kula vitu vyenye afya. Tunashuhudia familia nyingi wanasema baba hapendi mboga za majani, sijui hapendi dona n.k atatoa wapi stamina
bora umewaambia.uzembe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]And I ain't your Dady either,.....then why come crying here.....go to ur dady.