Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Umefanya nao wengi wangapi ukapata hzo data, ni swali tu
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
 
Sio wote mkuu wengine huwa tunakuwa fresh tu mfano me sijazoea kuwahi kulala so kama siku hiyo shoo tumefanya mapema ntaendelea kuangalia movie cz ndo kitu nachokipenda then mda wng wa kulala ukifika ndo nalala
 
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
Kwani wewe umeshachunguza wangapi?tuanzie hapo kwanza then ntakupa jibu mujarabu
 
Ile kazi sio ndogo , mshindo mmoja nikama umeingia gym week nzima alafu utoke
 
Teduuuuuuuuu nilikuwa napita
Mama Temba aiseeeee,itabidi nikuchunguze kule kwenye tundu la asali mbichi baby,inawezekana kuna wajasiriamali wanarina asali,na kama uko kibiashara zaidi acha nikaoe Mpare aiseee.
 
Mwanaume ndiyo hufanya kazi ngumu ya kumridhisha mwenza kwa hiyo lazima achoke... mwanamke hana kazi yoyote zaidi ya kutoa visauti sauti...
Mmmmmmmmh! Na kutega kihansi
 
uzembe tu
Kweli ni uzembe.
Tatizo hili hutoweka pale mwanaume (of course na mwanamke ) anapofanya mazoezi ya viungo mara kwa mara. Bila kufanya mazoezi ya viungo Kama kutembea reasonable distance ama kukimbia , zoezi la ngono linakuwa gumu sana hasa kwa mwanaume.

Hivyo wanaume na wanawake mnakumbushwa mfanye mazoezi ili muwe fiti kufurahia tendo la ndoa kwa bila kuchoka kizembe .
 
Uchovu wa kusaka tonge kutwa nzima, ukirudi home umechoka, wakati huo huo unatakiwa utimize wajibu wa ndoa, na mkumbuke kuwa hata mkiajiriwa nafasi moja mwanaume na mwanamke, mwanaume hutumika zaidi, hivyo huchoka zaidi kuliko mwanamke so akipiga kimoja lazima alale fofofo
 
mmh tuko tofauti wakati mie cha 1 na cha 2 ni mumo kwa mumo, hakuna kuchomoa nisubiri dk 10 niendelee noo, saaa kuanzia cha 3 hapo ndo lazma mapumziko yawepo,
 
Back
Top Bottom