Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Le mburulaz mtumbo shati umemwacha wapi...
Anamiliki noah, iphone na studio kali ambayo kodi ya pango ni madola tu!
 
wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll

2.saint ivuga

3.mshana Jr

4.Daby

5.smart911

6.mtimkavu

7.Ontario

8.kikulacho

9.nyani ngabu

10.Gudume

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi mwingine ulitaja hadi Makinikia yanayowafanya wawe matajiri, sasa mbona hujataja?

Tutaamini vipi kulingana na utafiti wako?


Halafu JF Founder(Maxence Melo) mbona hujamtaja, au kumiliki hii JF sio utajiri, maana tangazo la TANDABUI linainigiza mpunga saafi tu.
 
Hahahahaha.
Ila alisema anapambana na wahenga kabla. [emoji23]
Acha yule mwenye vita na wahenga.
Kuna huyu alie anzisha uzi kwamba watu wataje member wanao wachukia humu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndani ya thread akanitaja mimi ndie ananichukia kuliko wote humu Jf....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Badae nikagundua kumbe anaichukia avatar yangu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha
Eti avatar yako, mbona mieee naipenda
 


hahahah nimecheka sana sana ! yaan salute mkuu! hahahahhaahahha! had nakosa cha kucoment jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…