Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahahaSijambo dada za wewe nimeona jaman ndio nini kumpa makavu lakini au unataka uniulie mume
Ameshaniona mieee ni kiunganishi sio....
Naona mmesahau janaa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaSijambo dada za wewe nimeona jaman ndio nini kumpa makavu lakini au unataka uniulie mume
Sawa mkuuusihofu mkuu,ngoja tuuze mazao yetu na Madini kule KIVU,halafu wafanye tena tafiti
Dada usimfanyie hivyo akikwambia nitafute nitafute tu hapo hapo dada angu hivi we kumfanyia hivyo kweliii Baba DHahaha
Ameshaniona mieee ni kiunganishi sio....
Naona mmesahau janaa nyie
Maradhi comrade, niliugua sana almanusra...[emoji25] [emoji25]Ushmen Nimekumiss ujue.... Nani alikuficha
Pole sana jaman UshimenMaradhi comrade, niliugua sana almanusra...[emoji25] [emoji25]
Poa poaNalifahamu dada ujue
Ndio maana msukuma na chinga-boy wanawaitwa watanzania pumbavuwanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau jana mdogo wangu.... Tatizo alitukana mambaDada usimfanyie hivyo akikwambia nitafute nitafute tu hapo hapo dada angu hivi we kumfanyia hivyo kweliii Baba D
Uzi mwingine ulitaja hadi Makinikia yanayowafanya wawe matajiri, sasa mbona hujataja?wanaume wenye mkwanja mrefu jf
Kulingana na utafiti wangu binafsi
Tafadhali changia kwa upendo
1.Troll
2.saint ivuga
3.mshana Jr
4.Daby
5.smart911
6.mtimkavu
7.Ontario
8.kikulacho
9.nyani ngabu
10.Gudume
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana alikutukana wapi jaman dada mbona sikumbuki basi namuombea msamaha msamehe tu akikuagiza njo uniite dadaUmesahau jana mdogo wangu.... Tatizo alitukana mamba
JamaaaniiiMaradhi comrade, niliugua sana almanusra...[emoji25] [emoji25]
Acha yule mwenye vita na wahenga.Hahahahaha.
Ila alisema anapambana na wahenga kabla. [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha yule mwenye vita na wahenga.
Kuna huyu alie anzisha uzi kwamba watu wataje member wanao wachukia humu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndani ya thread akanitaja mimi ndie ananichukia kuliko wote humu Jf....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Badae nikagundua kumbe anaichukia avatar yangu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jana si alikuwa mchochezi... Usijisahaulishe weweJana alikutukana wapi jaman dada mbona sikumbuki basi namuombea msamaha msamehe tu akikuagiza njo uniite dada
upo the backyard ama?
HahahaAcha yule mwenye vita na wahenga.
Kuna huyu alie anzisha uzi kwamba watu wataje member wanao wachukia humu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndani ya thread akanitaja mimi ndie ananichukia kuliko wote humu Jf....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Badae nikagundua kumbe anaichukia avatar yangu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
mkuu mimi sijui kwa hao wengine ila nahisi kama nlistahili kuwa namba moja maana ...mpaka kuna watu wananishangaa kwa matumizi yangu ya pesa ambazo mi naona ni kidogo tu, naishi peke yangu na nina msichana wa kazi ambaye namlipa tsh 240,000 kwa mwezi kwa maisha ya kibongo sijui kama kuna anayenifikia hapo kati ya hao uliowataja. huyu namlipa hiyo pesa analala kwangu,anakula kwangu na matibabu anapata kwangu.
na utajiri wangu mimi si wa msimu au wa madawa yoyote yale. mimi pesa ninazo yaani hapa ndo kwake. siku nmewaambia wadau kuwa nina TV ya nchi 52 wakashangaa sasa nikaamua kuua kabisa nmenunua TV ya nch 68 nawaalika watu waje watizame mechi za EPL.... nimesikitika sana kuniweka namba 10 wakati huku kwangu ndo pesa zinakoanzia kabla ya kwenda kwenye mzunguko.
anyway hamna noma lakini .... ntawaonesha nina nini na nafanya nini. nlitoa mwaliko kwa watu walio tayari siku ya kesho nataka nichome nyama ya mbuzi ila nataka kujua idadi ya wahusika nijue ni wangapi watakuja kupata nyama choma na vinywaji mkabala wa nyama choma.