[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye list ya CHOKA MBAYA (kama itatoka) naomba na mimi nitajwe....Hakika
Kweli amigo, nitajitahidi sana skunyingineJamaaaniii
Pole mnoo comrade wangu, mambo mengine Uwe unasema bhanaa
Nimeona huo uzi labda muhenga nahisi huyu ndugu anataka tuwe na sare za avatar.Acha yule mwenye vita na wahenga.
Kuna huyu alie anzisha uzi kwamba watu wataje member wanao wachukia humu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndani ya thread akanitaja mimi ndie ananichukia kuliko wote humu Jf....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Badae nikagundua kumbe anaichukia avatar yangu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Basi dada namwombea msamaha msamehe shemeji yakoJana si alikuwa mchochezi... Usijisahaulishe wewe
MmhHahaha
Eti avatar yako, mbona mieee naipenda
Duh.. Ckuwahi kujua kma nyani ngabu na saint ivunga ni wanaume
Usije ukaanguka tu ushimen[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba uniazime avatar yako mkuu....[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli ya kawaida ya sura ya kiume kama ya GudumeNimeona huo uzi labda muhenga nahisi huyu ndugu anataka tuwe na sare za avatar.
Mbona avatar ya kawaida kabisa hiyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umemaanisha!?Naomba uniazime avatar yako mkuu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahha ya kwangu haiazimishwi chukua kwa GudumeNaomba uniazime avatar yako mkuu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati imenidondokea aiseeee.....[emoji13] [emoji13]Hahaha
Eti avatar yako, mbona mieee naipenda
Nipo mkuu...[emoji2] [emoji2]
Skuizi nilisha ishiwa maneno tangia pale nilipo anzishiwa uzi wa kuchukiwa
Wala Usijali na hutaumwa tena kwa jina la YesuKweli amigo, nitajitahidi sana skunyingine
Hata wewe ulichochea saaanaBasi dada namwombea msamaha msamehe shemeji yako
Nini sasaaa
Pigia mstari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]