Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Acha yule mwenye vita na wahenga.
Kuna huyu alie anzisha uzi kwamba watu wataje member wanao wachukia humu...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndani ya thread akanitaja mimi ndie ananichukia kuliko wote humu Jf....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Badae nikagundua kumbe anaichukia avatar yangu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nimeona huo uzi labda muhenga nahisi huyu ndugu anataka tuwe na sare za avatar.
Mbona avatar ya kawaida kabisa hiyo
 
Back
Top Bottom